CHADEMA kumshitaki Makonda kwa uvunjifu wa sheria

CHADEMA kumshitaki Makonda kwa uvunjifu wa sheria

Safi Sana, hujakosea Mkuu, hatutaki vichwa maji sisi
Nilikutana naye Koromije Misungwi Mwanza miaka ya 2000 enzi hizo akiitwa DAUDI Bashite. Sifahamu kivipi anaitwa Paul Makonda. Namfahamu in and out
 





hakuna mipaka iliyovukwa na keshaachiwa kwa dhamana ila kesi ipo palepale... ni kosa kumdhalilisha mteule wa raisi mbele ya watu ! hata asingelikuwa mteule wa Rais ni kosa kutoa kauli chafu kwa mtu yeyoyte yule .. ni ukosefu wa Adabu...



Amri si halali kakwambia nani ..? wito wenu umesikika kapewa dhamana lakini kesi ipo palepale .... mahakama itaamua ..



vifaa walisharudishiwa walichokitaka ni ushahidi wa video wakati kubenea akiongea hayo maneno machafu



sidhani jeshi lina muda huu wa kupoteza, inajulikana Tanzania ni nchi huru ... vitendea kazi vilichukuliwa kama ushahidi.. inabidi muwauliza hao wandishi je hawajarudisha vifaa vyao .. kabla hamjakurupuka kutoa matamko




Mbunge anamipaka yake! kubenea sio Rais wa ubungo bali ni muwakilishi tu! kazi yake ni kukusanya maoni na matatizo ya wananchi wake na kuyapeleka serikalini...!! DC ni serikali ! ... mkae muwape semina elekezi wabunge wenu wapya mipaka yao ni ipi na kuheshimu mihimili mengine ...



CRA.P!



Mkuu toka lowassa anunue CDM umepotea jukwaani .. vipi..?! mnaogopa kula matapishi yenu maana mlimnadi ni fisadi miaka 5 !!... kubenea akatoa makala kwenye mwanhalisi "LOWASSA HASAFISHIKI"

hehehe!
IMG-20170306-WA0009.jpg
IMG-20170306-WA0008.jpg


Pia usisahau kufoji ni kosa kisheria na adhabu yake ni miaka 7 jela.
 
Hivi aliwahi kushitakiwa au zilikuwa porojo tu?! Mako usirudi nyuma
 
Back
Top Bottom