CHADEMA kumshitaki Makonda kwa uvunjifu wa sheria

Funguka mkuu tumjue huyu kibaka aanikwe upuuzi wake. Pumbafu kabisa huyu dogo.

Mkuu jiongeze kidogo ebu rudia rudia kuisoma hiyo post au ujui kama Mkuu wa wilaya ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na USALAMA ya wilaya teh teh teh chadema bwana.
 
Mkuu jiongeze kidogo ebu rudia rudia kuisoma hiyo post au ujui kama Mkuu wa wilaya ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na USALAMA ya wilaya teh teh teh chadema bwana.
Wewe ndiyo hujaelewa nilichotaka ufafanuzi, kaa kimya
 
Makonda hana nidhamu na maadili hata kidogo, sembuse maadili kidogo tu ya kujiheshimu yeye kama yeye.
Pamoja na kwamba Kubenea huenda alifanya kosa but DC Makonda anatakiwa kufundwa ili alevuke kwanza.
 
kwa hoja hizi au wameweka akiba ya maneno?
 
Na hizo ndio kazim za chadema sio kufuata taratibu na kujenga utamaduni wa kuheshimiana, kwanini Mbunge mzima unashindwa kujiheshimu na kumheshimu mwenzako? mpk unamuita mkuu wa wilaya kibaka wewe unabusara na unawakilisha wananchi kwa akili kama hiyo huwezi kua muwakilishi bora wa wananchi wa jimbo la ubungo unless kama akili zao zipo za kishabiki kama alivyo kubenea maana akiona mtu wa chama kingine akili yake inamtuma kama huyu mtu ni adui bila kufikiria kama huyu nae ni mtumishi wa wananchi,unataka kujiona wewe bora kuliko mwenzako.asante sana
 

Pumba.
 
Hawa Ukawa sijui hizi siasa za matamko wataacha lini, maana ilibidi wafungue kwanza kesi ndio tusikie kwenye taarifa ya habari na magazeti, lakini si hivi kuanza kutulaghai hapa eti wanania ya kufungua kesi, hapa si masijala ya mahakama, pelekeni shauri lenu mahakamani na mpunguze porojo.
 
Nilikutana naye Koromije Misungwi Mwanza miaka ya 2000 enzi hizo akiitwa DAUDI Bashite. Sifahamu kivipi anaitwa Paul Makonda. Namfahamu in and out

Umesahau Ya Lameck Madelu Baadae Akawa Mwigulu Nchemba?. Majizi Ya Vyeti Vya Watu Siku Zote Ni Mababe Mababe Tu Na Hayatumii Akili. Ipo Siku Daud Bashite aka Paul Makonda Atanyea Ndoo Kwa Upuuzi Huu.
 
Last edited by a moderator:
Kubenea kakiri kwenye gazeti la mwananchi kuwa ni kweli kamwita makonda kibaka

Je kisheria makonda kuitwa kibaka Ni sawa Na mkuu wa wilaya ya kinondoni kuitwa kibaka? My question is whether makonda is synonymous to district commissioner.
 
YES, afikishwe mahakamani mara moja. Mrisho Gambo aliyewahi kuwa DC wilaya ya Korogwe alishawahi kufikishwa mahakamani na sina hakika kesi iliisha vipi!!

sasa hv ni mkuu wa wilaya ya uvinza.. kikwete alkuwa janga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…