Sijui kapotea wap jaman uwiiiiiieee, duh kumbe kweli, Aibu kubwa Sana hiiMama unaweza kutupa details zaidi?
Sijui kapotea wap jaman uwiiiiiieee, duh kumbe kweli, Aibu kubwa Sana hii
Hahahaaa nami nasema ni kibaka tuu
Kweli kabisa, atakomaLabda alinunua jina la kufanyia mtihani baada ya kufeli mtihani
Mama njoo huku uone jamanYes you are very correct. Baba yake alikuwa kamanda wa Sungusungu enzi hizo wanakijiji walikoma. Mnazifahamu mboko za Sungusungu?
Fuatilieni kijiji cha Koromije Misungwi Mwanza mtaupata ukweli wote bila chenga kwa wanakijiji wa hapo
Mamaphilipo ukuje hapa utupe ukweli kuhusu sakata hili.Nilikutana naye Koromije Misungwi Mwanza miaka ya 2000 enzi hizo akiitwa DAUDI Bashite. Sifahamu kivipi anaitwa Paul Makonda. Namfahamu in and out
Daaah mkuu, umenikusanyia posts zote ili waniadhibu nini[emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli kabisa, atakoma
Nilikutana naye Koromije Misungwi Mwanza miaka ya 2000 enzi hizo akiitwa DAUDI Bashite. Sifahamu kivipi anaitwa Paul Makonda. Namfahamu in and out
AiseeNilipigwa butwaa alipoteuliwa. Kujiridhisha nikampigia Mama yake akanithibitishia..Sishangai kinachotokea
hakuna mipaka iliyovukwa na keshaachiwa kwa dhamana ila kesi ipo palepale... ni kosa kumdhalilisha mteule wa raisi mbele ya watu ! hata asingelikuwa mteule wa Rais ni kosa kutoa kauli chafu kwa mtu yeyoyte yule .. ni ukosefu wa Adabu...
Amri si halali kakwambia nani ..? wito wenu umesikika kapewa dhamana lakini kesi ipo palepale .... mahakama itaamua ..
vifaa walisharudishiwa walichokitaka ni ushahidi wa video wakati kubenea akiongea hayo maneno machafu
sidhani jeshi lina muda huu wa kupoteza, inajulikana Tanzania ni nchi huru ... vitendea kazi vilichukuliwa kama ushahidi.. inabidi muwauliza hao wandishi je hawajarudisha vifaa vyao .. kabla hamjakurupuka kutoa matamko
Mbunge anamipaka yake! kubenea sio Rais wa ubungo bali ni muwakilishi tu! kazi yake ni kukusanya maoni na matatizo ya wananchi wake na kuyapeleka serikalini...!! DC ni serikali ! ... mkae muwape semina elekezi wabunge wenu wapya mipaka yao ni ipi na kuheshimu mihimili mengine ...
CRA.P!
Mkuu toka lowassa anunue CDM umepotea jukwaani .. vipi..?! mnaogopa kula matapishi yenu maana mlimnadi ni fisadi miaka 5 !!... kubenea akatoa makala kwenye mwanhalisi "LOWASSA HASAFISHIKI"
hehehe!
hivi mwanahalisi nalo ni gazeti la kuleta references ???View attachment 477367View attachment 477368
Pia usisahau kufoji ni kosa kisheria na adhabu yake ni miaka 7 jela.
hivi mwanahalisi nalo ni gazeti la kuleta references ???
HahahaLabda Uhuru