Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
movie ndo linaanza
Kwa kipengele hicho nadhani kwa wale wajumbe wengi wao hawajakidhi viwango...
Chenge anacho.
6 atawekewe mizengwe.
Wakuu
Hizi tetezi nimesikia toka juzi kuwa Wakili Msomi Tundu Antiphas atatangazwa na chama chake kama mgombea wa nafasi ya spika bunge la KATIBA
Tundu ni gwiji wa sheria nchini.
Bunge gani ambalo kichaa mwenda wa zimu atakuwa spika?Ni gwiji wa sheria wa cdm siyo Tanzania.Wakuu
Hizi tetezi nimesikia toka juzi kuwa Wakili Msomi Tundu Antiphas atatangazwa na chama chake kama mgombea wa nafasi ya spika bunge la KATIBA
Tundu ni gwiji wa sheria nchini.
Kamanda anafaa, CCM wanamtaka Pandu Amir Kificho kuongoza jahazi.
Hawazi kuupata huyo chizii
TL hana busara ya kuwa spika. Anafaa akae hivo hivo bac!
Katika historia ya
mapambano dhidi ya ukandamizaji wa haki ya Tanganyika kikatiba, je
amewahi kutokea mtu kupakaziwa uchizi kuliko christopher mtikila? Ina
maana Rais Kikwete kamteua chizi kuwa mjumbe wa bunge la Katiba?
Ritz, abakorakamo,
Simiyu Yetu, zomba,
chama, MWASIKILI
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
MchambuziKatika historia ya mapambano dhidi ya ukandamizaji wa haki ya Tanganyika kikatiba, je amewahi kutokea mtu kupakaziwa uchizi kuliko christopher mtikila? Ina maana Rais Kikwete kamteua chizi kuwa mjumbe wa bunge la Katiba?
Ritz, abakorakamo, Simiyu Yetu, zomba, chama, MWASIKILI