CHADEMA kumtangaza Lissu kugombea uspika bunge la katiba

CHADEMA kumtangaza Lissu kugombea uspika bunge la katiba

Kwa uwezo gan alionao Lissu?huyo tayar imekula kwake,ntafurahia anguko la Lissu ktk hko kitu
 
Wakuu

Hizi tetezi nimesikia toka juzi kuwa Wakili Msomi Tundu Antiphas atatangazwa na chama chake kama mgombea wa nafasi ya spika bunge la KATIBA

Tundu ni gwiji wa sheria nchini.

Tetezi ndio nini? gwiji la sharia angekipotosha chama kwenye sakata la Zitto hadi chama kinadhailika maakamani na kulipia gharam za kesi?bingwa wa kuchanganya sharia! hawezi kuwa spika kwani hata kazi yake CDM haiwezi!
 
Wakuu

Hizi tetezi nimesikia toka juzi kuwa Wakili Msomi Tundu Antiphas atatangazwa na chama chake kama mgombea wa nafasi ya spika bunge la KATIBA

Tundu ni gwiji wa sheria nchini.
Bunge gani ambalo kichaa mwenda wa zimu atakuwa spika?Ni gwiji wa sheria wa cdm siyo Tanzania.
 
Last edited by a moderator:
Hata kama akianguka, asichaguliwe. Kwangu safi tu! Tena ndo itakuwa nafasi nzuri ya kutoa mchango wake kuliko angekuwa spika!
 
Ana vigezo vingi ila kanyimwa busara.hata hivyo atakuwa ameandika historia ya kuwa msindikizaji
 
Tuone kama Wazanzibari (CUF na CCM) watameza tambo zao na kumchagua Mgombea wa CHADEMA! Wasipoungana na CHADEMA nitawaona watu wasio na msimamo na ni CCM B maana kama kilio chao ni serikali tatu hamna namna wanaweza kuipata pasi kuungana na CHADEMA! Kinachopaswa CUF wasiweke mgombea :baby:
 
Katika historia ya
mapambano dhidi ya ukandamizaji wa haki ya Tanganyika kikatiba, je
amewahi kutokea mtu kupakaziwa uchizi kuliko christopher mtikila? Ina
maana Rais Kikwete kamteua chizi kuwa mjumbe wa bunge la Katiba?

Ritz, abakorakamo,
Simiyu Yetu, zomba,
chama, MWASIKILI



Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

mkuu hao ndo vijana wa CCM.kujibu kistaarabu na kwa facts kwao ni kama watawaidisha wasomaji
 
Last edited by a moderator:
Sipendekezi hilo kwani nafasi ya mnadhimu kambi ya upinzani itamfaa sana kipindi hiki na nafasi yake mama waziri wa sheria.
 
Katika historia ya mapambano dhidi ya ukandamizaji wa haki ya Tanganyika kikatiba, je amewahi kutokea mtu kupakaziwa uchizi kuliko christopher mtikila? Ina maana Rais Kikwete kamteua chizi kuwa mjumbe wa bunge la Katiba?

Ritz, abakorakamo, Simiyu Yetu, zomba, chama, MWASIKILI



Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Mchambuzi
Mch. Mtikila tayari amesema hili bunge ni wahuni hapo utapata majibu Lissu anataka kuongoza bunge la aina gani; sio Lissu au Mtikla watakaoturudishia Tanganyika; ni sisi watanganyika siku tukisimama na kuidai kwa nguvu zote tutaipata tu; Tanganyika ipo ndani ya mioyo ya watanganyika.
 
Last edited by a moderator:
Hizo siyo tetesi, ulikuwa UNAOTA MCHANA. Lisu ni sawa na Mbweha.Kazi yake kubweka siyo kuongoza.
 
ikiwa hivyo kikwete lazma aende dodoma,utasikia kificho pandu anatangaza bungeni wajumbe wenye kutokana na chama tawala mnakikao na rais,,,,,bas watagombezwa afu mwisho utasikia ni bora nchi tatu zipite
kuliko tundu kua spika.kisha anapanda ndege anarudi magogoni
 
Basi kila kiti cha mbunge kiwe selfcontained yaani kiwe na choo maana ccm matumbo yatachachamaa.
 
Wakuu

Hizi tetezi nimesikia toka juzi kuwa Wakili Msomi Tundu Antiphas atatangazwa na chama chake kama mgombea wa nafasi ya spika bunge la KATIBA

Tundu ni gwiji wa sheria nchini.

Hakuna lolote kwa TUNDU, sheria huwa zinamchanganya sana mpaka anachanganyikiwa na kuchanganya vifungu.

Labda msomi Albert Msando.
 
Back
Top Bottom