Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
Kiongozi hakuna mtu mwenye akili zake timamu Tanzania (average kwa wengi wao) wanaodhani CDM ya Lissu ni suluhisho.
Upuuzi na dramma mfanye wana CCM halafu mkiona mnashindwa namna ya kujadili mnalazimisha kwa ku drag in wengine ili tu mpate angle ya kujadili.Moja ya sàbabu ya mimi kuutaka Urais wa Tanzania ni namna ambavyo kama nchi tunakosa mbadala wa ccm, yaani tunaupinzani ambao ni mabingwa wa kudandia matukio ya kisiasa na na sio ku-stick na mipango yao in short hawajui wanachopigania ni-nini
Kwenye barua ya polepole ambayo ina-surface online kuna reaction nyingi lakina kuna mambo ambayo ningependa kuyaongelea wakati polepole akiwa katibu mwenezi wa ccm
Hayo ni baadhi ya matukio machache yapo mengi- kuna wakati tunajiuliza kama kweli ile barua ni ya kweli je polepole ni shujaa kweli na kama tunamchukulia polepole ni shujaa basi kama taifa tunasafari ndefu sana kwenye kuiona Tanzania tunayoitaka sababu hatujui tulipotoka na tunapoelekea
- Wakati polepole akiwa katibu mwenezi tuliona watu wakiunga juhudi mkono na mda huo huo wakirudishwa kibabe pasipo-kufuata matakwa ya chama cha mapinduzi na kugombea tena swali mbona hatukumsikia polepole akilalamika
- Mwaka 2020 wagombea walikatwa kihuni lakin hatukumsikia polepole akilalamika bali alikuwa anacheka mda wote
- Wakati polepole akiwa katibu mwenezi watu walikuwa wanatekwa mbona hakutoka na kulalamikia utekaji kama kweli ni mpenda haki
- Wakati wa utawala wa magufuli shughuli za vyama vya siasa vilishitishwa kinyume na katiba hatukumsikia polepole akilalamikia hili swala
- Wakati wa utawala wa magufuli tuliona kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2019 na 2020 ila hatukumsikia polepole akilalamika tulimuona akiwa anacheka mpaka gego la mwisho likionekana
- Wakati wa utawala wa magufuli professor assad aliondolewa kinyume na utaratibu ila atakumsikia polepole akilalamika
Ni sawa na ndugai wakati wa magufuli anakopo sana kumbuka magufuli ni rais wa pili kukopa sana baada ya samia hakuna sehemu yeyote job ndugai alikuwa analalamika bali alikuwa mda wote anacheka huku amevaa Joho lake la uspika
Kaingia samia ghafla job ndugai kaanza kuona mikopo ni tatizo serious nauhakika kama magufuli angeendelea na kukopa hivi basi job ndugai angeendelea kumsifia
Polepole ni architect wa mabaya na mambo mengine wanayofanyiwa chadema leo hii inakuaje ghafla chadema wanamsifia inamaan mara hii wameshasahau inafikirisha sana
Mimi simpingi polepole na wala simsupport kwa sababu asilimia kubwA ya mambo anayolalamikia leo yalianza yeye akiwa katibu mwenezi wa ccm
Kwani ni Chadema tu? Wote wanaopenda haki Pamoja na Chadema wanachukulia hii ni kuvuja kwa pakacha ndiyo nafuu maana ile kasi ya kuwakaba wapinzani inapungua kwa sababu lazima CCM waanze kuziba hilo tobo.Moja ya sàbabu ya mimi kuutaka Urais wa Tanzania ni namna ambavyo kama nchi tunakosa mbadala wa ccm, yaani tunaupinzani ambao ni mabingwa wa kudandia matukio ya kisiasa na na sio ku-stick na mipango yao in short hawajui wanachopigania ni-nini
Kwenye barua ya polepole ambayo ina-surface online kuna reaction nyingi lakina kuna mambo ambayo ningependa kuyaongelea wakati polepole akiwa katibu mwenezi wa ccm
Hayo ni baadhi ya matukio machache yapo mengi- kuna wakati tunajiuliza kama kweli ile barua ni ya kweli je polepole ni shujaa kweli na kama tunamchukulia polepole ni shujaa basi kama taifa tunasafari ndefu sana kwenye kuiona Tanzania tunayoitaka sababu hatujui tulipotoka na tunapoelekea
- Wakati polepole akiwa katibu mwenezi tuliona watu wakiunga juhudi mkono na mda huo huo wakirudishwa kibabe pasipo-kufuata matakwa ya chama cha mapinduzi na kugombea tena swali mbona hatukumsikia polepole akilalamika
- Mwaka 2020 wagombea walikatwa kihuni lakin hatukumsikia polepole akilalamika bali alikuwa anacheka mda wote
- Wakati polepole akiwa katibu mwenezi watu walikuwa wanatekwa mbona hakutoka na kulalamikia utekaji kama kweli ni mpenda haki
- Wakati wa utawala wa magufuli shughuli za vyama vya siasa vilishitishwa kinyume na katiba hatukumsikia polepole akilalamikia hili swala
- Wakati wa utawala wa magufuli tuliona kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2019 na 2020 ila hatukumsikia polepole akilalamika tulimuona akiwa anacheka mpaka gego la mwisho likionekana
- Wakati wa utawala wa magufuli professor assad aliondolewa kinyume na utaratibu ila atakumsikia polepole akilalamika
Ni sawa na ndugai wakati wa magufuli anakopo sana kumbuka magufuli ni rais wa pili kukopa sana baada ya samia hakuna sehemu yeyote job ndugai alikuwa analalamika bali alikuwa mda wote anacheka huku amevaa Joho lake la uspika
Kaingia samia ghafla job ndugai kaanza kuona mikopo ni tatizo serious nauhakika kama magufuli angeendelea na kukopa hivi basi job ndugai angeendelea kumsifia
Polepole ni architect wa mabaya na mambo mengine wanayofanyiwa chadema leo hii inakuaje ghafla chadema wanamsifia inamaan mara hii wameshasahau inafikirisha sana
Mimi simpingi polepole na wala simsupport kwa sababu asilimia kubwA ya mambo anayolalamikia leo yalianza yeye akiwa katibu Mwenezi wa ccm
Ndiyo maana mimi huwa nasema wewe ni Rais mtarajiwa ambaye ni andazi! Umemsikia kiongozi gani wa CHADEMA anayepongeza? Yaani usikie mabumunda menzio ndiyo uhitimishe kwamba ni CHADEMA hao? Hebu kuwa na heshima! Umesoma ujumbe wa Lema anavyompinga Polepole katika hili?Moja ya sàbabu ya mimi kuutaka Urais wa Tanzania ni namna ambavyo kama nchi tunakosa mbadala wa ccm, yaani tunaupinzani ambao ni mabingwa wa kudandia matukio ya kisiasa na na sio ku-stick na mipango yao in short hawajui wanachopigania ni-nini
Kwenye barua ya polepole ambayo ina-surface online kuna reaction nyingi lakina kuna mambo ambayo ningependa kuyaongelea wakati polepole akiwa katibu mwenezi wa ccm
Hayo ni baadhi ya matukio machache yapo mengi- kuna wakati tunajiuliza kama kweli ile barua ni ya kweli je polepole ni shujaa kweli na kama tunamchukulia polepole ni shujaa basi kama taifa tunasafari ndefu sana kwenye kuiona Tanzania tunayoitaka sababu hatujui tulipotoka na tunapoelekea
- Wakati polepole akiwa katibu mwenezi tuliona watu wakiunga juhudi mkono na mda huo huo wakirudishwa kibabe pasipo-kufuata matakwa ya chama cha mapinduzi na kugombea tena swali mbona hatukumsikia polepole akilalamika
- Mwaka 2020 wagombea walikatwa kihuni lakin hatukumsikia polepole akilalamika bali alikuwa anacheka mda wote
- Wakati polepole akiwa katibu mwenezi watu walikuwa wanatekwa mbona hakutoka na kulalamikia utekaji kama kweli ni mpenda haki
- Wakati wa utawala wa magufuli shughuli za vyama vya siasa vilishitishwa kinyume na katiba hatukumsikia polepole akilalamikia hili swala
- Wakati wa utawala wa magufuli tuliona kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2019 na 2020 ila hatukumsikia polepole akilalamika tulimuona akiwa anacheka mpaka gego la mwisho likionekana
- Wakati wa utawala wa magufuli professor assad aliondolewa kinyume na utaratibu ila atakumsikia polepole akilalamika
Ni sawa na ndugai wakati wa magufuli anakopo sana kumbuka magufuli ni rais wa pili kukopa sana baada ya samia hakuna sehemu yeyote job ndugai alikuwa analalamika bali alikuwa mda wote anacheka huku amevaa Joho lake la uspika
Kaingia samia ghafla job ndugai kaanza kuona mikopo ni tatizo serious nauhakika kama magufuli angeendelea na kukopa hivi basi job ndugai angeendelea kumsifia
Polepole ni architect wa mabaya na mambo mengine wanayofanyiwa chadema leo hii inakuaje ghafla chadema wanamsifia inamaan mara hii wameshasahau inafikirisha sana
Mimi simpingi polepole na wala simsupport kwa sababu asilimia kubwA ya mambo anayolalamikia leo yalianza yeye akiwa katibu mwenezi wa ccm
I know you are better than that.Upuuzi na dramma mfanye wana CCM halafu mkiona mnashindwa namna ya kujadili mnalazimisha kwa ku drag in wengine ili tu mpate angle ya kujadili.
CHADEMA mmejaribu kuifungia, Tundu Lissu yupo gerezani lakini bado mnaweweseka nao.
na SSH akiwa Makamu wa RaisMimi simpingi Polepole na wala simsupport kwa sababu asilimia kubwa ya mambo anayolalamikia leo yalianza yeye akiwa katibu mwenezi wa ccm
Wapi taarifa official kutoka mamlaka halali ya CDM imesema haya unayo yadai.?CDM wao wanaona kama vile Polepole kasema anaamia chama chao kesho
Wewe ni toilet paper 🧻 🧻 🧻 🧻 🧻 kama walivyo CHAWA wengineMoja ya sàbabu ya mimi kuutaka Urais wa Tanzania ni namna ambavyo kama nchi tunakosa mbadala wa ccm, yaani tunaupinzani ambao ni mabingwa wa kudandia matukio ya kisiasa na na sio ku-stick na mipango yao in short hawajui wanachopigania ni-nini
Kwenye barua ya polepole ambayo ina-surface online kuna reaction nyingi lakina kuna mambo ambayo ningependa kuyaongelea wakati polepole akiwa katibu mwenezi wa ccm
Hayo ni baadhi ya matukio machache yapo mengi- kuna wakati tunajiuliza kama kweli ile barua ni ya kweli je polepole ni shujaa kweli na kama tunamchukulia polepole ni shujaa basi kama taifa tunasafari ndefu sana kwenye kuiona Tanzania tunayoitaka sababu hatujui tulipotoka na tunapoelekea
- Wakati polepole akiwa katibu mwenezi tuliona watu wakiunga juhudi mkono na mda huo huo wakirudishwa kibabe pasipo-kufuata matakwa ya chama cha mapinduzi na kugombea tena swali mbona hatukumsikia polepole akilalamika
- Mwaka 2020 wagombea walikatwa kihuni lakin hatukumsikia polepole akilalamika bali alikuwa anacheka mda wote
- Wakati polepole akiwa katibu mwenezi watu walikuwa wanatekwa mbona hakutoka na kulalamikia utekaji kama kweli ni mpenda haki
- Wakati wa utawala wa magufuli shughuli za vyama vya siasa vilishitishwa kinyume na katiba hatukumsikia polepole akilalamikia hili swala
- Wakati wa utawala wa magufuli tuliona kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2019 na 2020 ila hatukumsikia polepole akilalamika tulimuona akiwa anacheka mpaka gego la mwisho likionekana
- Wakati wa utawala wa magufuli professor assad aliondolewa kinyume na utaratibu ila atakumsikia polepole akilalamika
Ni sawa na ndugai wakati wa magufuli anakopo sana kumbuka magufuli ni rais wa pili kukopa sana baada ya samia hakuna sehemu yeyote job ndugai alikuwa analalamika bali alikuwa mda wote anacheka huku amevaa Joho lake la uspika
Kaingia samia ghafla job ndugai kaanza kuona mikopo ni tatizo serious nauhakika kama magufuli angeendelea na kukopa hivi basi job ndugai angeendelea kumsifia
Polepole ni architect wa mabaya na mambo mengine wanayofanyiwa chadema leo hii inakuaje ghafla chadema wanamsifia inamaan mara hii wameshasahau inafikirisha sana
Mimi simpingi polepole na wala simsupport kwa sababu asilimia kubwA ya mambo anayolalamikia leo yalianza yeye akiwa katibu mwenezi wa ccm
Hopeless a rotten headMoja ya sàbabu ya mimi kuutaka Urais wa Tanzania ni namna ambavyo kama nchi tunakosa mbadala wa ccm, yaani tunaupinzani ambao ni mabingwa wa kudandia matukio ya kisiasa na na sio ku-stick na mipango yao in short hawajui wanachopigania ni-nini
Kwenye barua ya polepole ambayo ina-surface online kuna reaction nyingi lakina kuna mambo ambayo ningependa kuyaongelea wakati polepole akiwa katibu mwenezi wa ccm
Hayo ni baadhi ya matukio machache yapo mengi- kuna wakati tunajiuliza kama kweli ile barua ni ya kweli je polepole ni shujaa kweli na kama tunamchukulia polepole ni shujaa basi kama taifa tunasafari ndefu sana kwenye kuiona Tanzania tunayoitaka sababu hatujui tulipotoka na tunapoelekea
- Wakati polepole akiwa katibu mwenezi tuliona watu wakiunga juhudi mkono na mda huo huo wakirudishwa kibabe pasipo-kufuata matakwa ya chama cha mapinduzi na kugombea tena swali mbona hatukumsikia polepole akilalamika
- Mwaka 2020 wagombea walikatwa kihuni lakin hatukumsikia polepole akilalamika bali alikuwa anacheka mda wote
- Wakati polepole akiwa katibu mwenezi watu walikuwa wanatekwa mbona hakutoka na kulalamikia utekaji kama kweli ni mpenda haki
- Wakati wa utawala wa magufuli shughuli za vyama vya siasa vilishitishwa kinyume na katiba hatukumsikia polepole akilalamikia hili swala
- Wakati wa utawala wa magufuli tuliona kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2019 na 2020 ila hatukumsikia polepole akilalamika tulimuona akiwa anacheka mpaka gego la mwisho likionekana
- Wakati wa utawala wa magufuli professor assad aliondolewa kinyume na utaratibu ila atakumsikia polepole akilalamika
Ni sawa na ndugai wakati wa magufuli anakopo sana kumbuka magufuli ni rais wa pili kukopa sana baada ya samia hakuna sehemu yeyote job ndugai alikuwa analalamika bali alikuwa mda wote anacheka huku amevaa Joho lake la uspika
Kaingia samia ghafla job ndugai kaanza kuona mikopo ni tatizo serious nauhakika kama magufuli angeendelea na kukopa hivi basi job ndugai angeendelea kumsifia
Polepole ni architect wa mabaya na mambo mengine wanayofanyiwa chadema leo hii inakuaje ghafla chadema wanamsifia inamaan mara hii wameshasahau inafikirisha sana
Mimi simpingi polepole na wala simsupport kwa sababu asilimia kubwA ya mambo anayolalamikia leo yalianza yeye akiwa katibu mwenezi wa ccm
As in official statement ya CDM I can’t attest to my allegations.Wapi taarifa official kutoka mamlaka halali ya CDM imesema haya unayo yadai.?
Au unaokotaokota maneno ya watu mbalimbali na kufanya msimamo?
Wewe ndiye hijifahamu kwa kuandika usicho kifahamu kwa kutojifahamu unacho andikaMoja ya sàbabu ya mimi kuutaka Urais wa Tanzania ni namna ambavyo kama nchi tunakosa mbadala wa ccm, yaani tunaupinzani ambao ni mabingwa wa kudandia matukio ya kisiasa na na sio ku-stick na mipango yao in short hawajui wanachopigania ni-nini
Kwenye barua ya polepole ambayo ina-surface online kuna reaction nyingi lakina kuna mambo ambayo ningependa kuyaongelea wakati polepole akiwa katibu mwenezi wa ccm
Hayo ni baadhi ya matukio machache yapo mengi- kuna wakati tunajiuliza kama kweli ile barua ni ya kweli je polepole ni shujaa kweli na kama tunamchukulia polepole ni shujaa basi kama taifa tunasafari ndefu sana kwenye kuiona Tanzania tunayoitaka sababu hatujui tulipotoka na tunapoelekea
- Wakati polepole akiwa katibu mwenezi tuliona watu wakiunga juhudi mkono na mda huo huo wakirudishwa kibabe pasipo-kufuata matakwa ya chama cha mapinduzi na kugombea tena swali mbona hatukumsikia polepole akilalamika
- Mwaka 2020 wagombea walikatwa kihuni lakin hatukumsikia polepole akilalamika bali alikuwa anacheka mda wote
- Wakati polepole akiwa katibu mwenezi watu walikuwa wanatekwa mbona hakutoka na kulalamikia utekaji kama kweli ni mpenda haki
- Wakati wa utawala wa magufuli shughuli za vyama vya siasa vilishitishwa kinyume na katiba hatukumsikia polepole akilalamikia hili swala
- Wakati wa utawala wa magufuli tuliona kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2019 na 2020 ila hatukumsikia polepole akilalamika tulimuona akiwa anacheka mpaka gego la mwisho likionekana
- Wakati wa utawala wa magufuli professor assad aliondolewa kinyume na utaratibu ila atakumsikia polepole akilalamika
Ni sawa na ndugai wakati wa magufuli anakopo sana kumbuka magufuli ni rais wa pili kukopa sana baada ya samia hakuna sehemu yeyote job ndugai alikuwa analalamika bali alikuwa mda wote anacheka huku amevaa Joho lake la uspika
Kaingia samia ghafla job ndugai kaanza kuona mikopo ni tatizo serious nauhakika kama magufuli angeendelea na kukopa hivi basi job ndugai angeendelea kumsifia
Polepole ni architect wa mabaya na mambo mengine wanayofanyiwa chadema leo hii inakuaje ghafla chadema wanamsifia inamaan mara hii wameshasahau inafikirisha sana
Mimi simpingi polepole na wala simsupport kwa sababu asilimia kubwA ya mambo anayolalamikia leo yalianza yeye akiwa katibu mwenezi wa ccm
Chadema ni jamii ya watu waliokata tamaa, wameishiwa mbinu kwao wao kila atakayetofautiana na serikali ni shujaa.Moja ya sàbabu ya mimi kuutaka Urais wa Tanzania ni namna ambavyo kama nchi tunakosa mbadala wa ccm, yaani tunaupinzani ambao ni mabingwa wa kudandia matukio ya kisiasa na na sio ku-stick na mipango yao in short hawajui wanachopigania ni-nini
Kwenye barua ya polepole ambayo ina-surface online kuna reaction nyingi lakina kuna mambo ambayo ningependa kuyaongelea wakati polepole akiwa katibu mwenezi wa ccm
Hayo ni baadhi ya matukio machache yapo mengi- kuna wakati tunajiuliza kama kweli ile barua ni ya kweli je polepole ni shujaa kweli na kama tunamchukulia polepole ni shujaa basi kama taifa tunasafari ndefu sana kwenye kuiona Tanzania tunayoitaka sababu hatujui tulipotoka na tunapoelekea
- Wakati polepole akiwa katibu mwenezi tuliona watu wakiunga juhudi mkono na mda huo huo wakirudishwa kibabe pasipo-kufuata matakwa ya chama cha mapinduzi na kugombea tena swali mbona hatukumsikia polepole akilalamika
- Mwaka 2020 wagombea walikatwa kihuni lakin hatukumsikia polepole akilalamika bali alikuwa anacheka mda wote
- Wakati polepole akiwa katibu mwenezi watu walikuwa wanatekwa mbona hakutoka na kulalamikia utekaji kama kweli ni mpenda haki
- Wakati wa utawala wa magufuli shughuli za vyama vya siasa vilishitishwa kinyume na katiba hatukumsikia polepole akilalamikia hili swala
- Wakati wa utawala wa magufuli tuliona kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2019 na 2020 ila hatukumsikia polepole akilalamika tulimuona akiwa anacheka mpaka gego la mwisho likionekana
- Wakati wa utawala wa magufuli professor assad aliondolewa kinyume na utaratibu ila atakumsikia polepole akilalamika
Ni sawa na ndugai wakati wa magufuli anakopo sana kumbuka magufuli ni rais wa pili kukopa sana baada ya samia hakuna sehemu yeyote job ndugai alikuwa analalamika bali alikuwa mda wote anacheka huku amevaa Joho lake la uspika
Kaingia samia ghafla job ndugai kaanza kuona mikopo ni tatizo serious nauhakika kama magufuli angeendelea na kukopa hivi basi job ndugai angeendelea kumsifia
Polepole ni architect wa mabaya na mambo mengine wanayofanyiwa chadema leo hii inakuaje ghafla chadema wanamsifia inamaan mara hii wameshasahau inafikirisha sana
Mimi simpingi polepole na wala simsupport kwa sababu asilimia kubwA ya mambo anayolalamikia leo yalianza yeye akiwa katibu mwenezi wa ccm
Km watu wenyewe ni km huyu unategemea niniWewe ndiye hijifahamu kwa kuandika usicho kifahamu kwa kutojifahamu unacho andika
Kama ni blabla na ungaunga hainashida.As in official statement ya CDM I can’t attest to my allegations.
Lakini mimi naongelea mambo ya michango ya JF, sio huko kwengine duniani.
Na utaratibu wa humu ndani unga-unga kutokana na michango ya vyama; unaruhusiwa kuja na conclusion yeyote as far as I am concerned.