CHADEMA kumuona Polepole kama shujaa sio ajabu sana bali ni kutokujua wanatoka wapi na wanaenda wapi

As in official statement ya CDM I can’t attest to my allegations.

Lakini mimi naongelea mambo ya michango ya JF, sio huko kwengine duniani.

Na utaratibu wa humu ndani unga-unga kutokana na michango ya vyama; unaruhusiwa kuja na conclusion yeyote as far as I am concerned.
Ukiona tamko la kiongozi wa chadema kuhusu hili tujulishe linasemaje.
 
Moja ya sàbabu ya mimi kuutaka Urais wa Tanzania ni namna ambavyo kama nchi tunakosa mbadala wa ccm, yaani tunaupinzani ambao ni mabingwa wa kudandia matukio ya kisiasa na na sio ku-stick na mipango yao in short hawajui wanachopigania ni-nini

Nenda kwenye account za mtandao wa x wa lema na boniface Jacob unaona wanavyomsifia polepole serious, ni kweli chadema hawajatoa official statement ila kauli za makada wake maarufu zinatosha kukuonyesha mtizamo wao kama chama

Kwenye barua ya polepole ambayo ina-surface online kuna reaction nyingi
ETI LEO POLEPOLE ANALILIA HAKI 😂🤣🤣 NA BAADHI YA WATU WANAMUONA SHUJAA KUNA MAMBO YANAUMIZA SANA NA KUSIKITISHA SANA KUNA MDA WANASIASA WANATUONAGA SISI NI MAZOMBI
kuna mambo ambayo ningependa kuyaongelea yalifanyika wakati polepole akiwa katibu mwenezi wa ccm na hatukuona mahali popote akiyalalamikia na yaliumiza sana watu wengi;-
  1. Wakati polepole akiwa katibu mwenezi tuliona watu wakiunga juhudi mkono na mda huo huo wakirudishwa kibabe pasipo-kufuata matakwa ya chama cha mapinduzi na kugombea tena swali mbona hatukumsikia polepole akilalamika
  2. Wakati wa utawala wa magufuli kila maeneo chadema waliokuwa na wabunge na madiwani polepole akienda na akiondoka unaskia watu wanaunga mkono juhudi ilikuwa ni biashara ya kununua watu wazi wazi na polepole alikuwa anacheka bila kuonea huruma fedha za wananchi zilizokuwa zinapotea ila leo analilia haki
  3. Mwaka 2020 wagombea wa ccm walikatwa kihuni sana lakin hatukumsikia polepole akilalamika bali alikuwa anacheka mda wote
  4. Mwaka 2020 wako wagombea wa chadema walinyimwa fomu kihuni na wakurugenzi yaani ni haki yao ya kikatiba ila hatukumsikia mahali popote polepole mpenda haki akilalamika
  5. Wakati polepole akiwa katibu mwenezi watu walikuwa wanatekwa mbona hakutoka na kulalamikia utekaji kama kweli ni mpenda haki
  6. Wakati wa utawala wa magufuli shughuli za vyama vya siasa vilishitishwa kinyume na katiba hatukumsikia polepole akilalamikia hili swala
  7. Wakati wa utawala wa magufuli tuliona kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2019 na 2020 ila hatukumsikia polepole akilalamika tulimuona akiwa anacheka mpaka gego la mwisho likionekana
  8. Wakati wa utawala wa magufuli professor assad aliondolewa kinyume na katiba ila atakumsikia polepole akilalamika katiba kusiginwa maksudi
Hayo ni baadhi ya matukio machache yapo mengi- kuna wakati tunajiuliza kama kweli ile barua ni ya kweli je polepole ni shujaa kweli na kama tunamchukulia polepole ni shujaa basi kama taifa tunasafari ndefu sana kwenye kuiona Tanzania tunayoitaka sababu hatujui tulipotoka na tunapoelekea

Ni sawa na ndugai wakati wa magufuli anakopo sana kumbuka magufuli ni rais wa pili kukopa sana baada ya samia hakuna sehemu yeyote job ndugai alikuwa analalamika bali alikuwa mda wote anacheka huku amevaa Joho lake la uspika
Kaingia samia ghafla job ndugai kaanza kuona mikopo ni tatizo serious nauhakika kama magufuli angeendelea na kukopa hivi basi job ndugai angeendelea kumsifia

Polepole ni architect wa mabaya na mambo mengine wanayofanyiwa chadema leo hii inakuaje ghafla chadema wanamsifia inamaan mara hii wameshasahau inafikirisha sana

Mimi simpingi polepole na wala simsupport kwa sababu asilimia kubwA ya mambo anayolalamikia leo yalianza yeye akiwa katibu mwenezi wa ccm
Hii hoja yako ina uzito mkubwa. Kukosekana kwa upinzani imara na thabiti ni changamoto kubwa kwa ustawi wa demokrasia yoyote. Pale ambapo vyama vya upinzani vinakuwa kama wasindikizaji wa hoja za kila siku badala ya kuwa na dira, sera mbadala na msimamo wa wazi, taifa linabaki kuwa na chama tawala kisichokuwa na changamoto ya kweli.

Kwa upande wa Lema, Boniface Jacob na wengine, kama kweli wanamsifia Polepole bila kupima historia yake kisiasa, hiyo inaweza kuashiria aidha ukosefu wa msimamo, au kupenda populism kuliko uthabiti wa itikadi.

Kama mtu ana ndoto ya kuongoza, na anatambua pengo la kiuongozi, hoja yako ya kuwa suluhisho — si mradi wa mihemko — inakuwa ya msingi. Lakini lazima uwe na dira iliyo wazi, timu yenye weledi, na mkakati wa muda mrefu unaoeleweka na wananchi.
 
Moja ya sàbabu ya mimi kuutaka Urais wa Tanzania ni namna ambavyo kama nchi tunakosa mbadala wa ccm, yaani tunaupinzani ambao ni mabingwa wa kudandia matukio ya kisiasa na na sio ku-stick na mipango yao in short hawajui wanachopigania ni-nini

Nenda kwenye account za mtandao wa x wa lema na boniface Jacob unaona wanavyomsifia polepole serious, ni kweli chadema hawajatoa official statement ila kauli za makada wake maarufu zinatosha kukuonyesha mtizamo wao kama chama

Kwenye barua ya polepole ambayo ina-surface online kuna reaction nyingi
ETI LEO POLEPOLE ANALILIA HAKI 😂🤣🤣 NA BAADHI YA WATU WANAMUONA SHUJAA KUNA MAMBO YANAUMIZA SANA NA KUSIKITISHA SANA KUNA MDA WANASIASA WANATUONAGA SISI NI MAZOMBI
kuna mambo ambayo ningependa kuyaongelea yalifanyika wakati polepole akiwa katibu mwenezi wa ccm na hatukuona mahali popote akiyalalamikia na yaliumiza sana watu wengi;-
  1. Wakati polepole akiwa katibu mwenezi tuliona watu wakiunga juhudi mkono na mda huo huo wakirudishwa kibabe pasipo-kufuata matakwa ya chama cha mapinduzi na kugombea tena swali mbona hatukumsikia polepole akilalamika
  2. Wakati wa utawala wa magufuli kila maeneo chadema waliokuwa na wabunge na madiwani polepole akienda na akiondoka unaskia watu wanaunga mkono juhudi ilikuwa ni biashara ya kununua watu wazi wazi na polepole alikuwa anacheka bila kuonea huruma fedha za wananchi zilizokuwa zinapotea ila leo analilia haki
  3. Mwaka 2020 wagombea wa ccm walikatwa kihuni sana lakin hatukumsikia polepole akilalamika bali alikuwa anacheka mda wote
  4. Mwaka 2020 wako wagombea wa chadema walinyimwa fomu kihuni na wakurugenzi yaani ni haki yao ya kikatiba ila hatukumsikia mahali popote polepole mpenda haki akilalamika
  5. Wakati polepole akiwa katibu mwenezi watu walikuwa wanatekwa mbona hakutoka na kulalamikia utekaji kama kweli ni mpenda haki
  6. Wakati wa utawala wa magufuli shughuli za vyama vya siasa vilishitishwa kinyume na katiba hatukumsikia polepole akilalamikia hili swala
  7. Wakati wa utawala wa magufuli tuliona kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2019 na 2020 ila hatukumsikia polepole akilalamika tulimuona akiwa anacheka mpaka gego la mwisho likionekana
  8. Wakati wa utawala wa magufuli professor assad aliondolewa kinyume na katiba ila atakumsikia polepole akilalamika katiba kusiginwa maksudi
Hayo ni baadhi ya matukio machache yapo mengi- kuna wakati tunajiuliza kama kweli ile barua ni ya kweli je polepole ni shujaa kweli na kama tunamchukulia polepole ni shujaa basi kama taifa tunasafari ndefu sana kwenye kuiona Tanzania tunayoitaka sababu hatujui tulipotoka na tunapoelekea

Ni sawa na ndugai wakati wa magufuli anakopo sana kumbuka magufuli ni rais wa pili kukopa sana baada ya samia hakuna sehemu yeyote job ndugai alikuwa analalamika bali alikuwa mda wote anacheka huku amevaa Joho lake la uspika
Kaingia samia ghafla job ndugai kaanza kuona mikopo ni tatizo serious nauhakika kama magufuli angeendelea na kukopa hivi basi job ndugai angeendelea kumsifia

Polepole ni architect wa mabaya na mambo mengine wanayofanyiwa chadema leo hii inakuaje ghafla chadema wanamsifia inamaan mara hii wameshasahau inafikirisha sana

Mimi simpingi polepole na wala simsupport kwa sababu asilimia kubwA ya mambo anayolalamikia leo yalianza yeye akiwa katibu mwenezi wa ccm
Kama kweli yupo mwanachadema anaona Polepole kama shujaa mm nitamshangaa sana na sidhani kama yupo naona haya ni kama majungu tu.WANACHADEMA HAWAWEZI FANYA HAYO.

KAMA POLEPOLE ANATAKA KUTUBU WATANZANIA WOTE WATAMUELEWA,LKN KAMA SIO HILO NI UPUUZI TU WA AINA NYINGINE,KAMA NI MFUMO wa utekaji Polepole ni muasisi,kama ni kupoteza watu Polepole ni muasisi,kama ni kunyima watu haki zao Polepole ni mm muasisi,kama ni wizi wa kura Polepole ni muasisi,na hawa waliopo CCM wanaendeleza kilichoandaliwa na Hamphrey Polepole sasa anataka kutubu,Ngoja tumsubiri tuone anataka kusema nini.
 
You are very brilliant
Your not brilliant as you say because you don't understand the concepts of CHADEMA.and you don't understand why do have political parties,Fairness is very important in everything.
 
You cant demand fairness while you do not believe or practice fairness brother. How dare your party demand fairness the same time your party isn't fair to the nation.
 
Moja ya sàbabu ya mimi kuutaka Urais wa Tanzania ni namna ambavyo kama nchi tunakosa mbadala wa ccm, yaani tunaupinzani ambao ni mabingwa wa kudandia matukio ya kisiasa na na sio ku-stick na mipango yao in short hawajui wanachopigania ni-nini

Nenda kwenye account za mtandao wa x wa lema na boniface Jacob unaona wanavyomsifia polepole serious, ni kweli chadema hawajatoa official statement ila kauli za makada wake maarufu zinatosha kukuonyesha mtizamo wao kama chama

Kwenye barua ya polepole ambayo ina-surface online kuna reaction nyingi
ETI LEO POLEPOLE ANALILIA HAKI 😂🤣🤣 NA BAADHI YA WATU WANAMUONA SHUJAA KUNA MAMBO YANAUMIZA SANA NA KUSIKITISHA SANA KUNA MDA WANASIASA WANATUONAGA SISI NI MAZOMBI
kuna mambo ambayo ningependa kuyaongelea yalifanyika wakati polepole akiwa katibu mwenezi wa ccm na hatukuona mahali popote akiyalalamikia na yaliumiza sana watu wengi;-
  1. Wakati polepole akiwa katibu mwenezi tuliona watu wakiunga juhudi mkono na mda huo huo wakirudishwa kibabe pasipo-kufuata matakwa ya chama cha mapinduzi na kugombea tena swali mbona hatukumsikia polepole akilalamika
  2. Wakati wa utawala wa magufuli kila maeneo chadema waliokuwa na wabunge na madiwani polepole akienda na akiondoka unaskia watu wanaunga mkono juhudi ilikuwa ni biashara ya kununua watu wazi wazi na polepole alikuwa anacheka bila kuonea huruma fedha za wananchi zilizokuwa zinapotea ila leo analilia haki
  3. Mwaka 2020 wagombea wa ccm walikatwa kihuni sana lakin hatukumsikia polepole akilalamika bali alikuwa anacheka mda wote
  4. Mwaka 2020 wako wagombea wa chadema walinyimwa fomu kihuni na wakurugenzi yaani ni haki yao ya kikatiba ila hatukumsikia mahali popote polepole mpenda haki akilalamika
  5. Wakati polepole akiwa katibu mwenezi watu walikuwa wanatekwa mbona hakutoka na kulalamikia utekaji kama kweli ni mpenda haki
  6. Wakati wa utawala wa magufuli shughuli za vyama vya siasa vilishitishwa kinyume na katiba hatukumsikia polepole akilalamikia hili swala
  7. Wakati wa utawala wa magufuli tuliona kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2019 na 2020 ila hatukumsikia polepole akilalamika tulimuona akiwa anacheka mpaka gego la mwisho likionekana
  8. Wakati wa utawala wa magufuli professor assad aliondolewa kinyume na katiba ila atakumsikia polepole akilalamika katiba kusiginwa maksudi
Hayo ni baadhi ya matukio machache yapo mengi- kuna wakati tunajiuliza kama kweli ile barua ni ya kweli je polepole ni shujaa kweli na kama tunamchukulia polepole ni shujaa basi kama taifa tunasafari ndefu sana kwenye kuiona Tanzania tunayoitaka sababu hatujui tulipotoka na tunapoelekea

Ni sawa na ndugai wakati wa magufuli anakopo sana kumbuka magufuli ni rais wa pili kukopa sana baada ya samia hakuna sehemu yeyote job ndugai alikuwa analalamika bali alikuwa mda wote anacheka huku amevaa Joho lake la uspika
Kaingia samia ghafla job ndugai kaanza kuona mikopo ni tatizo serious nauhakika kama magufuli angeendelea na kukopa hivi basi job ndugai angeendelea kumsifia

Polepole ni architect wa mabaya na mambo mengine wanayofanyiwa chadema leo hii inakuaje ghafla chadema wanamsifia inamaan mara hii wameshasahau inafikirisha sana

Mimi simpingi polepole na wala simsupport kwa sababu asilimia kubwA ya mambo anayolalamikia leo yalianza yeye akiwa katibu mwenezi wa ccm

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg
 
Back
Top Bottom