CHADEMA kumuona Polepole kama shujaa sio ajabu sana bali ni kutokujua wanatoka wapi na wanaenda wapi

Dishi la raisi Shughuru limeyumba. Liko wapi tamko la CHADEMA wakimuona Polepole kama shujaa?
Kaangalie wakina boniface Jacob, na lema wanavyomsifia mtu aliyekuwa sehemu ya watesaji wakati wa utawala wa magufuli
 
Naomba "official statement" ya CHADEMA kumuona H. Polepole shujaa, tafadhali!
 
Watanzania wanapenda kwenda na trending sana ni majitu Fulani hivi Yana low IQ sana , Binafsi Sina hakika kama Hilo limefanywa na chadema ila kitendo tu Cha kumuona pole pole kuwa ni shujaa Kwa kitendo alicho kifanya wakati yeye ni Mmoja kati ya wale waliochangia kuwepo Kwa siasa ya mtindo huu nchini ni Ujinga mkubwa sana tena Uliovuka mipaka
 
Ni mambo ambayo yanaumiza sana na kusikitisha sababu polepole ni moja wa ma-architect wa haya mambo ya ajabu yanayoendelea

Unashangaa eti polepole leo analilia haki serious
 
Tuwekee hapa official statement ya Chadema wakimsifia huyo Chakubanga, siyo umeshiba maharage yako huko unakurupuka tu .
 
Kauli za lema na boniface Jacob kumsifia polepole zinatosha kukupa picha ya msimamo wa chama
Kumbe wewe boga kweli kweli nimekuambia weka official statement ya Chadema hapa wewe unaleta maoni binafsi ya watu, hao wanachofurahia ni CCM kuwa na migogoro ya ndani na kila mpizani wa kweli analifurahia hilo lakini siyo kuwa wanamuona chakubanga kuwa ni shujaa, ni kama vile wanaccm kuwa upande wa Mbowe kipindi kile cha uchaguzi siyo kuwa walikuwa wanampenda Mbowe bali walikuwa wanachochea mgogoro ndani ya Chadema, hivi shule wewe ulienda kusomea ujinga?
 
hapa tunapigana na common enemy, kama tuna common interest agaisnt a common enemy, binafsi nitasahau yote mabaya ya yeyote, akitokea yeyote wa kumtingisha huyu mama ili kutetea haki za Watanganyika, mimi nitaungana naye huyo. Watanganyika wanapigwa virungu kwa sababu tu wanataka kumwabudu Mungu kweli? ila watu wa dini yake wanaswali wapendavyo, kisingizio ati anaenda kwa mwamposa ili watu waone kama anapenda wakristo, changa la macho kwanza mwamposa hata hatujui kama ni mkristo. huyu mama ni wa kumshitaki kwa Mungu, Mungu mwenyewe ashuke atusaidie na pengine Mungu ameanza kutujibu, Utukufu wote uwe kwa Mungu kwa Jina la Yesu Kristo.
 
Hata nape nauye kipindi cha magufuli watu walimtetea sana aliporudi kwenye system wakati wa samia akarudia yale mambo yake ya zamani

Polepole akirudushwa kwenye mfumo leo atabadilika na ataanza kuimba mapambio
 
Endelea kusubiria hapo ila mwenye macho haambiwi tazama
 
Tusubiri mkeka wa nafasi yake kuzibwa maisha yaendelee,maana sijaona jipya la polepole kwasababu wote ni wale wale wakuangalia upande wao wananufaikaje ikiwa tofauti wanajifanya kuonyesha matatizo kwakujiegemeza kwa wananchi.
 
Tusubiri mkeka wa nafasi yake kuzibwa maisha yaendelee,maana sijaona jipya la polepole kwasababu wote ni wale wale wakuangalia upande wao wananufaikaje ikiwa tofauti wanajifanya kuonyesha matatizo kwakujiegemeza kwa wananchi.
Kama nape na kinana wakati wa magufuli watu waliwatetea sana kwa mambo waliokuwa wanafanyiwa
wakati wa samia wakarudishwa angalia mambo ya hovyo waliyokuwa wanayafanya unajiuliza ndo hawa hawa walikuwa wanatia huruma
 
Lema na boniface Jacob wanamsifia polepole na wamesahau madhila yote aliyowafanyia
Nimesema "official", hao wamemsifia kibinafsi na sio msimamo wa chama.
Ndani ya CCM kuna mamilioni ya wanachama hawamkubali mama yenu, lakini halina mashiko sababu kichama wanaenda pamoja na mama yenu.
 
Nimesema "official", hao wamemsifia kibinafsi na sio msimamo wa chama.
Ndani ya CCM kuna mamilioni ya wanachama hawamkubali mama yenu, lakini halina mashiko sababu kichama wanaenda pamoja na mama yenu.
Wanaoongea ni viongozi wa chadema ndo wanaomchukulia shujaa
 
Hata nape nauye kipindi cha magufuli watu walimtetea sana aliporudi kwenye system wakati wa samia akarudia yale mambo yake ya zamani

Polepole akirudushwa kwenye mfumo leo atabadilika na ataanza kuimba mapambio
lakini walau kwa leo ametamka kuwa utawala huu unanyima watu haki, na ninaamini anamaanisha including haki yetu ya kuabudu Mungu, sisi wengine sio wanasiasa, ila tunapenda kusabudu Mungu, haki hiyo hawana uwezo kutunyang'anya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…