CHADEMA kumuona Polepole kama shujaa sio ajabu sana bali ni kutokujua wanatoka wapi na wanaenda wapi

Ukiona tamko la kiongozi wa chadema kuhusu hili tujulishe linasemaje.
 
Hii hoja yako ina uzito mkubwa. Kukosekana kwa upinzani imara na thabiti ni changamoto kubwa kwa ustawi wa demokrasia yoyote. Pale ambapo vyama vya upinzani vinakuwa kama wasindikizaji wa hoja za kila siku badala ya kuwa na dira, sera mbadala na msimamo wa wazi, taifa linabaki kuwa na chama tawala kisichokuwa na changamoto ya kweli.

Kwa upande wa Lema, Boniface Jacob na wengine, kama kweli wanamsifia Polepole bila kupima historia yake kisiasa, hiyo inaweza kuashiria aidha ukosefu wa msimamo, au kupenda populism kuliko uthabiti wa itikadi.

Kama mtu ana ndoto ya kuongoza, na anatambua pengo la kiuongozi, hoja yako ya kuwa suluhisho — si mradi wa mihemko — inakuwa ya msingi. Lakini lazima uwe na dira iliyo wazi, timu yenye weledi, na mkakati wa muda mrefu unaoeleweka na wananchi.
 
Kama kweli yupo mwanachadema anaona Polepole kama shujaa mm nitamshangaa sana na sidhani kama yupo naona haya ni kama majungu tu.WANACHADEMA HAWAWEZI FANYA HAYO.

KAMA POLEPOLE ANATAKA KUTUBU WATANZANIA WOTE WATAMUELEWA,LKN KAMA SIO HILO NI UPUUZI TU WA AINA NYINGINE,KAMA NI MFUMO wa utekaji Polepole ni muasisi,kama ni kupoteza watu Polepole ni muasisi,kama ni kunyima watu haki zao Polepole ni mm muasisi,kama ni wizi wa kura Polepole ni muasisi,na hawa waliopo CCM wanaendeleza kilichoandaliwa na Hamphrey Polepole sasa anataka kutubu,Ngoja tumsubiri tuone anataka kusema nini.
 
You are very brilliant
Your not brilliant as you say because you don't understand the concepts of CHADEMA.and you don't understand why do have political parties,Fairness is very important in everything.
 
Your not brilliant as you say because you don't understand the concepts of CHADEMA.and you don't understand why do have political parties,Fairness is very important in everything.
You cant demand fairness while you do not believe or practice fairness brother. How dare your party demand fairness the same time your party isn't fair to the nation.
 

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…