Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Unadhani ni nani kati ya viongozi waandamizi wa Chadema ndiyo hasa chimbuko la ombwe la uongozi lililopo na matatizo mengine makubwa ya kinidhamu na ubinafsi, yanaoonekana bayana kabisa hivi sasa na yanayochochea migawanyiko na kutoheshimiana miongoni mwao?
Je, ujuaji mwingi, ujeuri na ubinafsi baina ya viongozi wake waandamizi kutumia platforms za Chadema kuzungumzia masuala yao binafsi yasiyo na hata chembe ya maslahi kwa Chadema kuna ashiria nini?
Hivi sasa wana Chadema wako dilemma, hawaelewi wamuamini au kumsikiliza nani na wengine wako standby wanasubiri kauli ya mwisho kutoka kwa muandamizi mkuu ili hatimae wajua wamfuate au kutekeleza maagizo ya nani, na muhimu zaid kuamua hatma ya uanachama wao chadema.
Je, wewe ndugu mdau wa siasa za Chadema upo, upande wa Chadema ipi kati ya pande zilizojitokeza kulumbana hadharani mpaka sasa?🐒
Mungu Ibariki