CHADEMA kuna matatizo makubwa ya kiutawala yanayo chochewa zaidi na ombwe la uongozi, unadhani tatizo liko wapi?

CHADEMA kuna matatizo makubwa ya kiutawala yanayo chochewa zaidi na ombwe la uongozi, unadhani tatizo liko wapi?

nadhan hekima na busara ingekuelekeza kupeleka mchango wako wa hoja na mapendekezo kwenye hoja mahususi kuhusu hilo..

ni bahati mbaya mihemko na ghadhabu zako zimekuchochea kuonyesha makasiriko yako pasipohusika.

Halafu gentleman,
kama unafahamu Mungu ni wa wote una mbwelambwela na kubaika nini sasa aise 🐒
Miaka 60 ya uhuru bado hakuna vifaa vya uokoaji? Unashabikia ohhh nani hajajipanga oh siasa ni kujipanga?
Mbona serikali ya majambazi na wezi hapo lumumba yameshindwa hata kununua vifaa vya uokoaji tu? Kutuma salam zq pole kunasaidia nn sasa
Hakuna vifaa vya uokoaji, ila MABOMU YA MACHOZI YAPO YA KUTOSHA
 
Chadema wana laana ya Magufuli
Magufuli mwenyewe ana laana ya wapenda haki ndo mana akafa kibudu pale mzena. Kwani yeye ni mungu
Kwendraaa mbele huko kama umekasirika juu ya kifo chake kamfufue
 
Nilivyoona miongoni mwa COVID-19 kuna mke/hawara wa manaibu katibu wakuu pika pakua nikasema hamna kitu Tena.
Bora hata hai kina lissu wanapigania maslahi ya upinzani ila wanawaogopa mwenyekiti na bwana Lema tu.

In short tusitegemee jipya.
Kwenye ugumu penyeza rupia
 
Unadhani ni nani kati ya viongozi waandamizi wa Chadema ndiyo hasa chimbuko la ombwe la uongozi lililopo na matatizo mengine makubwa ya kinidhamu na ubinafsi, yanaoonekana bayana kabisa hivi sasa na yanayochochea migawanyiko na kutoheshimiana miongoni mwao?

Je, ujuaji mwingi, ujeuri na ubinafsi baina ya viongozi wake waandamizi kutumia platforms za Chadema kuzungumzia masuala yao binafsi yasiyo na hata chembe ya maslahi kwa Chadema kuna ashiria nini?

Hivi sasa wana Chadema wako dilemma, hawaelewi wamuamini au kumsikiliza nani na wengine wako standby wanasubiri kauli ya mwisho kutoka kwa muandamizi mkuu ili hatimae wajua wamfuate au kutekeleza maagizo ya nani, na muhimu zaid kuamua hatma ya uanachama wao chadema.

Je, wewe ndugu mdau wa siasa za Chadema upo, upande wa Chadema ipi kati ya pande zilizojitokeza kulumbana hadharani mpaka sasa?🐒

Mungu Ibariki
 
Chadema apewe Lissu uenyekiti atangaze vita wanachama wachinjane na ccm kuleta heshima.
Hekima ya Mbowe kutuliza wenye haraka ya kumwagana damu inazuia mageuzi.
Lissu = Kisasi
Mbowe = Uvumilivu.
Mbowe asingekuwepo Chadema kwa hulka na tabia yake aliyazaliwa nayo,
Lissu kwa sasa angelikuwa kaburini nyumbani kwake Singida kwa tukio lile la kupigwa risasi Dodoma.
Mbowe alisimama kiume kuhakikisha Lissu anapelekwa nje ya nchi kutibiwa kwa gharama za kuchangisha na kukopa watu binafsi baada ya serikali kukataa kuidhinisha fungu la matibabu nje.
 
chama kimepoteza dira nahii imechangiwa na tamaa ya madaraka na ubinafsi.
wa kulaumiwa hapa si mwingine zaidi ya mr konyagi
Mkuu, mbona kipo kingine kimepoteza ramani kabisa ya kutufikisha KANANI.
 
Attachments

  • IMG_20230730_055342.jpg
    IMG_20230730_055342.jpg
    52.7 KB · Views: 2
CCM mmesikia Tamko la TEC, ama nalo mnalidharau??
Kwa faida ya wadau,
Ingependeza zaidi ungeiandikia uzi maalumu na mahususi gentleman ama niaje?🐒
 
Back
Top Bottom