Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Edit tareheDodoma 14/3/2023
Mkuu kwenye hizo pumba ndani yake Kuna hoja za msingi......Lisuu au mbowe ,mbowe aliongea pumba sana
Wabunge waliopelekwa Dubai wanajulikana?Bila shaka jambo kubwa linalozungumzwa Dunia nzima la Mauzo ya Bandari litaenda KUHITIMISHWA RASMI , taarifa za chini kwa chini zinadokeza kwamba kila kitu kinakwenda kuanikwa wazi kabisa .
Unatamani ungekua wewe Mtani!Sawa
Mchungaji Msigwa hatakagi ujinga
Alikataa ofa ya Shujaa ya kumlipia faini atoke Jela, Huyu jamaa nunda sana😄😄