CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa ya ghafla iliyosambazwa na Chama hicho inaeleza kwamba Mkutano huo utafanyika saa 7 kamili mchana wa leo , kwenye makao makuu ya Chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , Kinondoni , Mtaa wa Ufipa .

Waandishi mtakaohudhuria mnaombwa kufuata muongozo wa WHO wa kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona .

Wote mnakaribishwa .

 
Asante kwa taarifa

Tunapaswa kukaa mkao wa kula, ili tumsikilize mwamba Mbowe, akishusha nondo zake
Kishaongea sana alipokuwa mwanza, Tabora, dodoma, moro, kipi kipya tena? Ila nyie makamanda hamnaga akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…