CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Septemba 20, 2022

CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Septemba 20, 2022

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kimeitisha Mkutano na Waandishi wa Habari, tarehe 20/09/2022 , Saa 5 Asubuhi kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, zilizoko nje ya Jiji la Dar es Salaam huko Kinondoni, Mtaa wa Ufipa.

Wote Mnakaribishwa.

Chadema.PNG
 
Chadema wanahaha kila mahali huku na kule kumfunika Malkia wao nguo, wanajaribu kila kilichopo kujaribu kuwatoa Watanzania mstarini, ila wapi, washakula hela ya watu, ngoja tuone kitakachofwatia!
 
Baada ya kutumia kodi za nyumbu kwenye hoteli ya kitalii kwa wiki nzima wanakuja kuitisha conference ya kuhalalisha wizi wao.

Chama hakina ukumbi wa kufanyia mikutano kwa miaka 35? Shame up on them.
CCM inafanyia Ikulu
 
Ni akina nani hao? Sisi tunajua chama ni CCM na ACT
 
Baada ya kutumia kodi za nyumbu kwenye hoteli ya kitalii kwa wiki nzima wanakuja kuitisha conference ya kuhalalisha wizi wao.

Chama hakina ukumbi wa kufanyia mikutano kwa miaka 35? Shame up on them.
baba yako ana nyumba ya maana?, shame upon him
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kimeitisha Mkutano na Waandishi wa Habari, tarehe 20/09/2022 , Saa 5 Asubuhi kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama hicho, zilizoko nje ya Jiji la Dar es Salaam huko Kinondoni, Mtaa wa Ufipa.
Asante kwa taarifa, huu mkutano sio wa kukosa kwa media na waandishi wowote makini!, ila Mtaa wa Ufipa sio nje ya Jiji la Dar es Salaam!. Pale ni Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Jiji la Dar es Salaam ni kuanzia Posta kwa Kinondoni ni mpaka Mwenge, ukivuka Mwenge ndio nje ya Jiji la Dar es Salaam. Kwa ilala ni ukivuka Buguruni na kwa Temeke ukivuka Kurasini.

P
 
Mambo ya kuulizwa vibali na kuambiwa 'tangulia wewe na familia yako' siku hizi hayapo?
 
Asante kwa taarifa, huu mkutano sio wa kukosa kwa media na waandishi wowote makini!, ila Mtaa wa Ufipa sio nje ya Jiji la Dar es Salaam!. Pale ni Kinondoni Jijini Dar es Salaam. Jiji la Dar es Salaam ni kuanzia Posta kwa Kinondoni ni mpaka Mwenge, ukivuka Mwenge ndio nje ya Jiji la Dar es Salaam. Kwa ilala ni ukivuka Buguruni na kwa Temeke ukivuka Kurasini.

P
Kwa mujibu wa sheria za Tanzania , awamu ya 5 iliondoa Masaki , oysterbay , kinondoni , Temeke , Ubungo , Mbagala na kigamboni kuwa sehemu ya Jiji la DSM na kuipaisha manispaa ya ilala tu kuwa Jiji

Yaani Jiji la Dar ni Vingunguti , chanika na Buguruni kwa mnyamani
 
Mungu ibariki chedema, Mungu mrejeshe Tundu lissu aje akomboe watanzania [emoji120]
Awakomboe ufipa hapo kwanza mliponasa na kufirisika kisera, Lisu huyuhuyu aliyejificha ubalozini na tiketi yake ndio amkomboe mtanzania? Sisi watanzania tulishakombolewa na Hayati Mwalimu nyerere na Sasa Ni mwendo wa kuijenga nchi yetu kwa mikono yetu wenyewe chini ya mh Rais wetu mpendwa mama Samia
 
Back
Top Bottom