johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Budget kutoka burigiNimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.
Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.
Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020
Maendeleo hayana vyama!
Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.

We kibwengu wa Lumumba una tatizo......so what?pumbavu kabisa wewNimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.
Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.
Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020
Maendeleo hayana vyama!
Hahahaaa........ Chadema ndio inaishia hiyo!We kibwengu wa Lumumba una tatizo......so what?pumbavu kabisa wew
Hahahaaa......... Mzee Mgaya bado anamshangaa Tundu Antipas Lisu kugombea " kacheo" ka kumpikia chai Mwenyekiti!Hivi kwa leo tu, hii ni thread ya ngapi umeianzisha kuhusiana na CHADEMA?
Vipi, na hii issue, hajakuambia MZEE MGAYA?
Ikiiisha mumeo atakuongezea budget yako. Jitu kichwani ovyo kabisaHahahaaa........ Chadema ndio inaishia hiyo!
Utarudi migombani bwashee!Ikiiisha mumeo atakuongezea budget yako. Jitu kichwani ovyo kabisa
Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.
Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.
Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020
Maendeleo hayana vyama!
Wataunga mkono juhudi!kwa hiyo wakihamia ccm ndo watasaidia ni au wataongeza nini ambacho nyie ccm hamna? saa zingne ccm mnaboa!
Mkuu kwa sasa hakuna uchaguzi tena hadi October 2020!Boss johnthebaptist Kwanini wasisubiri tu Uchaguzi Mkuu tu??? !!!
Madiwani 100 na Wabunge zaidi ya 20, kurudia Chaguzi ni Pesa ndefu sana.
Wamepima Upepo kwenye Manunuzi, wameona WaTanzania wajinga,
Wamepima Upepo kwenye Chaguzi za Mitaa, wameona WaTanzania ni wapumbavu,
Sasa wanaendelea ....
Ngozi nyeusi sijui ... tumelogwa na nani??? !!!
Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019
Kauli hizo mbili zinakinzana. Panga upya ngano na soga zako kisha urudi tena hapa.wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020