CHADEMA kupoteza halmashauri zote inazoziongoza kabla ya mkesha wa mwaka mpya mamia ya madiwani wake kuhamia CCM

Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.

Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.

Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020

Maendeleo hayana vyama!
Itafaa sasa mfanye tathimini baada ya wengi kuhamia huko nini kimebadilika ktk Maisha?
 
Waende tu wakaitwe mapumbavu na mkulu mbele ya watoto zao na wakezao.
Nami naongeza waende tu hao mipumbavu!
 
mark my words, Kuna tofauti ndogo Sana Kati ya NAZI party na CCM in their methods,. ... History is a good thing!

Back
Top Bottom