CHADEMA kupoteza halmashauri zote inazoziongoza kabla ya mkesha wa mwaka mpya mamia ya madiwani wake kuhamia CCM

Sidhani kama inajalisha...hoja yake imenyooka

Yap, ndio maana nimemuambia hao viongozi wasingoje mwaka mpya huko ni mbali sana, waondoke hata usiku wa leo. Waende wakalinde matumbo yao, sisi bado msimamo wetu uko pale pale kuwa hatuikubali ccm fullstop.
 
Kimsingi haina tija kabisa........ Lakini ni ujinga kuwa na Upinzani unaogharamiwa na serikali kwa kila kitu.

Kiongozi yoyote mwenye maono hawezi kulea aina ya upinzani kama huu wa Tanzania....... Yaani serikali ikupe ruzuku kwa kazi ya kuitukana na kuikwamisha?!
Ni kama wanajigharamia wenyewe maana wao na wanachama wanalipa kodi
 
Na kujengea matundu ya vyoo maana ni aibu under CCM administration tunajengewa vyoo kwa msaada, uhuru wetu upo wapi hapo.
Kwahiyo mlitaka hata choo cha hiyo nyumba ya akina Bob Makani hapo Ufipa mjengewe na serikali?!

Endeleeni kujisaidia bar ya jirani bhana!
 
Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.

Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.

Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020

Maendeleo hayana vyama!
Kwa hisani ya mzee Mgaya
 
Yohana mbatizaji akili zake hazikuwa katikati ya makalio kama wewe unayetumia njia ya haja kubwa kufikiri.
Shwain we
Hahahaaa......hahahaaa...... Ushabugia mbege ya kutosha bwashee!

Naona unanesa kimbegembege na njegere yako!
 
Mkuu yohana mbatizaji kama kweli una sauti hapo juu mahali palipoinuka basi hebu toa ushauri kwa wakuu wa dola kuwa upinzani wa kisiasa ndani ya nchi haumalizwi kirahisi hivyo. Huwa nashangaa sana kuona watu wa dola wanaoisimamia CCM kutokuwa na mikakati ya nguvu iliyoenda shule kushughulikia upinzani nchini.

Wanachofanya hivi sasa ni kupoteza muda tu. Mbaya zaidi wanajikusanyia mamluki wenye njaa na fitna kibao - an explosive lot ready to send the party to hell with a really loud bang!
 
MIKAKATI YA CCM NI IMARA SANA.

Msingi Mkuu wa chama cha siasa ni itikadi na sera zake. CCM inavyo vitu hivyo na inavisimamia na kuvitekeleza. Ndiyo shule yenyewe hiyo. Huwezi kuwa huna mikakati ya nguvu ukashika dola na kuongoza nchi kwa kipindi chote hicho.

Hivi unaposema CCM haina mikakati imara unailinganisha CCM na chama kipi cha siasa hapa nchini? Ebu tutajie, kwa mfano tu, itikadi na sera ya chama kingine katika eneo moja tu.
 
Halafu tutamalizia kwa kuwafunga jela kwa kusababisha kifo cha marehemu Akwilina
Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.

Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.

Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020

Maendeleo hayana vyama!
 
Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.

Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.

Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020

Maendeleo hayana vyama!
Hii pesa inayotumika kuwanunua chadema ingeelekezwa kwenye kuleta maendeleo Nchi ingepiga hatua kubwa
 
MIKAKATI YA CCM NI IMARA SANA.

Msingi Mkuu wa chama cha siasa ni itikadi na sera zake. CCM inavyo vitu hivyo na inavisimamia na kuvitekeleza. Ndiyo shule yenyewe hiyo. Huwezi kuwa huna mikakati ya nguvu ukashika dola na kuongoza nchi kwa kipindi chote hicho.

Hivi unaposema CCM haina mikakati imara unailinganisha CCM na chama kipi cha siasa hapa nchini? Ebu tutajie, kwa mfano tu, itikadi na sera ya chama kingine katika eneo moja tu.
ccm haina mikakati imara inachukua pesa za umma kuwanunua wapinzani hiyo ni mikakati ya matumizi mabaya ya pesa za umma
 
Yap, ndio maana nimemuambia hao viongozi wasingoje mwaka mpya huko ni mbali sana, waondoke hata usiku wa leo. Waende wakalinde matumbo yao, sisi bado msimamo wetu uko pale pale kuwa hatuikubali ccm fullstop.
Upinzani upo moyoni hata wakiwanunua moyoni hawatabadilika watabakia upinzani lakini machoni wanazuga na kula pesa zao tu
 
Kwanza kabisa ni uwenda wazimu kufurahia vyama pinzani kufa hasa kwa mwananchi anaejitambua.pili kuna watu wapya humu jf wametokea fb matusi wasiojua mijadala zaidi ya kutukana na kuwa shabiki kindakindaki kwa wasio yajua. Jf ya zamani ili kuwa somo tosha la kufundishaa na kueleweshana. Mtanzania jitambue
 
Back
Top Bottom