CHADEMA kupoteza halmashauri zote inazoziongoza kabla ya mkesha wa mwaka mpya mamia ya madiwani wake kuhamia CCM

Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.

Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.

Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020

Maendeleo hayana vyama!
Ndoto za alinacha akiwa kwenye maliwato
 
Boss johnthebaptist Kwanini wasisubiri tu Uchaguzi Mkuu tu??? !!!
Madiwani 100 na Wabunge zaidi ya 20, kurudia Chaguzi ni Pesa ndefu sana.
Wamepima Upepo kwenye Manunuzi, wameona WaTanzania wajinga,
Wamepima Upepo kwenye Chaguzi za Mitaa, wameona WaTanzania ni wapumbavu,
Sasa wanaendelea ....
Ngozi nyeusi sijui ... tumelogwa na nani??? !!!
Mkuu Ni haki Yao kufanya hivyo kisheria kwahiyo waache tu Kama walivyo
 
We leta ushabiki impact Utakuja iona badaye

Ova
 
Mkuu Ni haki Yao kufanya hivyo kisheria kwahiyo waache tu Kama walivyo

Boss Mr Tyang Haki gani ya Kisheria isiyojali Maslai ya Taifa na Nchi ??? !!! Boss unajua Chaguzi moja tu ya Ubunge inagharimu Tshs ngapi za Kitanzania??? Mbona kwenye Wafanyakazi kusafiri wanabana??? Mbona Warsha wamebana???
 
MIKAKATI YA CCM NI IMARA SANA.

Msingi Mkuu wa chama cha siasa ni itikadi na sera zake. CCM inavyo vitu hivyo na inavisimamia na kuvitekeleza. Ndiyo shule yenyewe hiyo. Huwezi kuwa huna mikakati ya nguvu ukashika dola na kuongoza nchi kwa kipindi chote hicho.

Hivi unaposema CCM haina mikakati imara unailinganisha CCM na chama kipi cha siasa hapa nchini? Ebu tutajie, kwa mfano tu, itikadi na sera ya chama kingine katika eneo moja tu.
Wala kwa sasa ccm haishi kama unavyosema, ccm inaishi kwa kubebwa Na dola.uchaguzi Wa serikali za mitaa umeiweka wazi ccm
 
Maendeleo hayana vyama!
Ingekuwa kweli ni hivyo, kumiminiana risasi kusingekuwepo. Kisa? Kuua upinzani. Baada ya njama za kuua upinzani kubuma, imebaki njia moja tu...kuteka, kutesa na kumimina risasi au kuokotwa viongozi wa chama kwenye viroba. Naomba nikuulize swali wewe muunga juhudi, je baada ya Chadema kuwapoteza viongozi wake walioviendesha hizo halmashauri ulitakaje? Mbona unaongoza humu jukwaani kwa kuanzisha mada za hovyo, huchoki? Je juhudi za kuwamaliza kabisa nazo zimebuma? Acha kulalamika hovyo kama kuku aliyeangua kinda badala ya kifaranga...chaa kabisa.
 
Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.

Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.

Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020

Maendeleo hayana vyama!
Hakuna cha ajabu hapo...
Ikiwa watu hawawezi kufanya siasa wakiwa upande tofauti na huo wafanyeje? Je wote wakishahamia fusiemu miradi itakamilika vilivyo au hali ya uchumi itatengemaa?
Majibu mtayapata kwa wananchi...
 
Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.

Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.

Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020

Maendeleo hayana vyama!

Ni haki yao

Una jipya jengine?
 
Hayati Baba wa Taifa alishasema Tanzania ina Malaya wa Kisiasa wacha waende ,wangewauliza kina Milya na Mwita nini kinaendelea ndani ya CCM
 
Me mwenyewe natamani kuhamia Sisiyemu lakini naogopa kuwa kundi moja na akina mwijaku, gwajiboy, menina, sanchi, nandy, billnasy, na wengineo wanaofanana na hao
 
"Hakuna Mtanzania mwenye akili timamu anayeweza kurubuniwa na CCM" Quote from Elli, mwanafalsafa kutoka JF
 
Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.

Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.

Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020

Maendeleo hayana vyama!
Waende wote tutaanza upya kwani wachaguaji ni sisi.
 
2020ACT watakuwa ndiyo Wakuu wa upinzani na mkuu wao BUNGENI Atatoka ZNZ
 
Wakati wa Ukoloni tulikuwa na Mikataba ya uraghai...Sasa keo tuna Siasa za kiraghai...
Kweli mtanzania ni wa kuonea huruma.
 
Back
Top Bottom