CHADEMA kupoteza halmashauri zote inazoziongoza kabla ya mkesha wa mwaka mpya mamia ya madiwani wake kuhamia CCM

Siyo kwamba nafurahia mkuu...... Sasa wewe unaelewa historia ya JJ Mnyika kwa mfano hadi umtake aanzishe chama chao?!
Kwa hivyo akijiunga ccm atapewa nafasi kugombea ubunge au?? Mbona hiyo ni ndoto ya mbali?? Hata udiwani hapati nafasi ccm. Tulliwapa nafasi kugombea hizo nafasi zao ili wasijiue lakini sasa 2020 tupo sote kwenye ballot hivyo agombee huko huko CDM yao tuwabwage
 
Mzee Mgaya na Mchungaji Erasto nao wamesemaje? Huo usiku wa mwaka mpya ni mbali, wahamie hata usiku huu, uzuri ni kuwa hatuko upinzani kwa ajili ya kuwafuata wao. Wanaweza kwenda ccm muda wowote, lakini msimamo wetu ni dhabiti na hatushawishiki kwa lolote na wao.
Hahahaaa........ Mzee Mgaya anamshangaa Tundu Antipas Lisu kugombea " kacheo" ka kwenda kumpikia chai Mwenyekiti!

Mchungaji Erasto naye amemshangaa Mwambe kwa kumfananisha Mbowe na Yesu mwokozi na kwamba yeye ( Cecil Mwambe) ni Simon mkirene..........amesema hiyo pekee inaonyesha Mwambe ameshashindwa kabla ya uchaguzi!

Maendeleo hayana vyama
 
Kwa hivyo akijiunga ccm atapewa nafasi kugombea ubunge au?? Mbona hiyo ni ndoto ya mbali?? Hata udiwani hapati nafasi ccm. Tulliwapa nafasi kugombea hizo nafasi zao ili wasijiue lakini sasa 2020 tupo sote kwenye ballot hivyo agombee huko huko CDM yao tuwabwage
CCM vyeo ni vingi siyo lazima uwe mbunge!
 
Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.

Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.

Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020

Maendeleo hayana vyama!
Kwa kua kila mtu ana pigania tumbo lake haishangazi kuona wote wanahamia upande huo. Maana mkuu alishaamua hakuna kutoa ushindi kwa upande ule mwingine. Mfumo uliopo sasa hivi unawalazimisha watu wafuate upande huo hata kama hawataki, maana ukiwa upande ule hutoweza kujaza fomu ya kuomba nafasi yoyote na ukiwa upande huo unapitishwa bila kupingwa. Sasa kwa nini watu wasiende kutengeneza ugali wao? Hakuna siku njaa ime muacha mtu salama.
 
Nimetaarifiwa na kada mkongwe wa CCM aliyeko Zanzibar kuwa mwezi wa December 2019 madiwani zaidi ya 100 wa Chadema na ACT wazalendo watahamia CCM katika kuunga mkono juhudi za mh Rais Magufuli.

Inaelezwa kuwa Chadema itapoteza halmashauri zote inazoziongoza zikiwemo zile za majiji, manispaa na wilaya kulingana na rundo la barua za maombi ya madiwani hao kujiunga CCM zilizoko ofisi ya Katibu mkuu wa CCM.

Kadhalika wabunge zaidi ya 20 pia wameomba kujiunga na CCM na wameambiwa watapimwa uthabiti wa maombi yao kwa namna watakavyochangia hotuba ya bajeti mwezi April, 2020

Maendeleo hayana vyama!

SIJUI NANI KATI YA CDM NA ACT ANA NAFUU!

Jahazi la CDM linazama; nahodha kag'ang'ania usukani! Hataki kujiachia nahodha mwingine kuokoa jahazi. Wajanja wananyanganyana maboya na kuchupa.

Hakuna mtu aliye makini atasalia katika jahazi linalozama. Nasikia hata Prof. Abdallah Safari amestuka. Hakugombea tena nafasi ya Makamu Mwenyekiti. Nadhani anajiandaa kuchukua boya kuchupa.
 
Hahahaaa........ Mzee Mgaya anamshangaa Tundu Antipas Lisu kugombea " kacheo" ka kwenda kumpikia chai Mwenyekiti!

Mchungaji Erasto naye amemshangaa Mwambe kwa kumfananisha Mbowe na Yesu mwokozi na kwamba yeye ( Cecil Mwambe) ni Simon mkirene..........amesema hiyo pekee inaonyesha Mwambe ameshashindwa kabla ya uchaguzi!

Maendeleo hayana vyama

Ahaaaa ahaaa, kwa hiyo hao wote umekutana nao leo wakakupa hizo habari?
 
SIJUI NANI KATI YA CDM NA ACT ANA NAFUU!

Jahazi la CDM linazama; nahodha kag'ang'ania usukani! Hataki kujiachia nahodha mwingine kuokoa jahazi. Wajanja wananyanganyana maboya na kuchupa.

Hakuna mtu aliye makini atasalia katika jahazi linalozama. Nasikia hata Prof. Abdallah Safari amestuka. Hakugombea tena nafasi ya Makamu Mwenyekiti. Nadhani anajiandaa kuchukua boya kuchupa.
Tena barua ya Prof Safari mh Daktari Bashiru anatembea nayo mkobani mwake!
 
Ahaaaa ahaaa, kwa hiyo hao wote umekutana nao leo wakakupa hizo habari?
Hapa nipo Kanisani kwa maandalizi ya kesho.

Na mzee Mgaya nimeonana naye jioni tukizungumzia ushindi wa bondia wetu!
 
Back
Top Bottom