Tetesi: CHADEMA kurudi kwenye maridhiano na CCM

olimpio

JF-Expert Member
Joined
Apr 5, 2023
Posts
418
Reaction score
866
Baada ya sarakasi nyingi sana za CHADEMA, hatimaye kikao chao cha juzi kimeridhia warudi kwenye meza ya mazungumzo na CCM.

CHADEMA wanarudi kwenye meza ya mazungumzo wakiwa wameamua kuachana na akina Mwambukusi, Dkt. Slaa na Mdude CHADEMA kwenye harakati zao za bandari.

CHADEMA wameona mgogoro huo hauna faida kwa chama chao na ulikua unawagawa wanachama wao. Dkt Slaa pia amesha watarifu vijana wake wa Sauti ya watanzania kuwa rasmi sasa Hakuna mawasiliano na uongozi wa chadema mkuu.

Rai yangu, Dkt Slaa safari ya ACT wazalendo inakuhusu na kila lakheri makamanda kwenye maridhiano tena.
 
Kama Viongozi wetu wa CHADEMA wameona kuna tija basi sisi tuko nao bega kwa bega.

Tuondoke kwenye Confrontation twende kwenye Dialogue.

Tumeshuhudia Mbarali Kinana katembeza fitna Wananchi wameitosa ACT Wazalendo sisi nina imani tungeshinda hilo jimbo.
 
MAMA ALISEMA STUPID
 
Hiu imekaa kiudaku zaidi
 
Akina mwambukutu na mdudu je wameachwa kwenye mataa

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Kama wanarud kwaajil ya mamb ya msingi yenye tija its okay!!
 
Sasa ACT si ndio wako chumbani kwa bibi kabisa?
 
Uongo hautakuondolea umasikini ulionao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…