Tetesi: CHADEMA kurudi kwenye maridhiano na CCM

Baada ya sarakasi nyingi sana za CHADEMA, hatimaye kikao chao cha juzi kimeridhia warudi kwenye meza ya mazungumzo na CCM.

CHADEMA wanarudi kwenye meza ya mazungumzo wakiwa wameamua kuachana na akina Mwambukusi, Dkt. Slaa na Mdude CHADEMA kwenye harakati zao za bandari.

CHADEMA wameona mgogoro huo hauna faida kwa chama chao na ulikua unawagawa wanachama wao. Dkt Slaa pia amesha watarifu vijana wake wa Sauti ya watanzania kuwa rasmi sasa Hakuna mawasiliano na uongozi wa chadema mkuu.

Rai yangu, Dkt Slaa safari ya ACT wazalendo inakuhusu na kila lakheri makamanda kwenye maridhiano tena.
Kibaraka wa ulaya hawezi elewa wala kukubali hilo jambo
 
Mbafiki mkubwa wewe!
Dk Slaa hajawahi kutaka kurudi Chadema!
Pia wewe sio msemaji wa Chadema!
Wewe ni m**a koko wa Lumumba ya fisi!
 
Baada ya sarakasi nyingi sana za CHADEMA, hatimaye kikao chao cha juzi kimeridhia warudi kwenye meza ya mazungumzo na CCM.

CHADEMA wanarudi kwenye meza ya mazungumzo wakiwa wameamua kuachana na akina Mwambukusi, Dkt. Slaa na Mdude CHADEMA kwenye harakati zao za bandari.

CHADEMA wameona mgogoro huo hauna faida kwa chama chao na ulikua unawagawa wanachama wao. Dkt Slaa pia amesha watarifu vijana wake wa Sauti ya watanzania kuwa rasmi sasa Hakuna mawasiliano na uongozi wa chadema mkuu.

Rai yangu, Dkt Slaa safari ya ACT wazalendo inakuhusu na kila lakheri makamanda kwenye maridhiano tena.
Wanarudi tena kwenye maridhiano au wanafuatilia dili liongezwe?
 
Baada ya sarakasi nyingi sana za CHADEMA, hatimaye kikao chao cha juzi kimeridhia warudi kwenye meza ya mazungumzo na CCM.

CHADEMA wanarudi kwenye meza ya mazungumzo wakiwa wameamua kuachana na akina Mwambukusi, Dkt. Slaa na Mdude CHADEMA kwenye harakati zao za bandari.

CHADEMA wameona mgogoro huo hauna faida kwa chama chao na ulikua unawagawa wanachama wao. Dkt Slaa pia amesha watarifu vijana wake wa Sauti ya watanzania kuwa rasmi sasa Hakuna mawasiliano na uongozi wa chadema mkuu.

Rai yangu, Dkt Slaa safari ya ACT wazalendo inakuhusu na kila lakheri makamanda kwenye maridhiano tena.
Kwahiyo hii kwako ni taarifa?
 
CDM ni kama wanajibebisha kwa Samia wakitegemea atawapa makombo yoyote, hakuna watakalo ambulia la maana sana sana kina Mbowe watalambishwa asali kidogo na ndio safari ya CDM kuwa “NCCR “mpya inachangamka.
Uvccm mnaroho mbaya kuliko hata nyoka koboko
 
Kama Viongozi wetu wa CHADEMA wameona kuna tija basi sisi tuko nao bega kwa bega.

Tuondoke kwenye Confrontation twende kwenye Dialogue.

Tumeshuhudia Mbarali Kinana katembeza fitna Wananchi wameitosa ACT Wazalendo sisi nina imani tungeshinda hilo jimbo.
ACT habari zao ziliisha tangu siku alipozikwa maalim Seif Shariff
 
Back
Top Bottom