Tetesi: CHADEMA kurudi kwenye maridhiano na CCM

Baada ya sarakasi nyingi sana za CHADEMA, hatimaye kikao chao cha juzi kimeridhia warudi kwenye meza ya mazungumzo na CCM.

CHADEMA wanarudi kwenye meza ya mazungumzo wakiwa wameamua kuachana na akina Mwambukusi, Dkt. Slaa na Mdude CHADEMA kwenye harakati zao za bandari.

CHADEMA wameona mgogoro huo hauna faida kwa chama chao na ulikua unawagawa wanachama wao. Dkt Slaa pia amesha watarifu vijana wake wa Sauti ya watanzania kuwa rasmi sasa Hakuna mawasiliano na uongozi wa chadema mkuu.

Rai yangu, Dkt Slaa safari ya ACT wazalendo inakuhusu na kila lakheri makamanda kwenye maridhiano tena.
Slaa kwenda ACT ni sawa na kwenda CCM Act ni MAMLUKI hata wewe na Zitto mnajua
 
Chadema inakwenda kupasuka 2025 na haya yote anayataka Mbowe.
acha inyeshe tujue panakovuja, ipasuke tu ili ccm iendelee kutawala. Vyama vya upinzani ni magumashi matupu na tena ni mamluki hatuviamini tena
 
Baada ya sarakasi nyingi sana za CHADEMA, hatimaye kikao chao cha juzi kimeridhia warudi kwenye meza ya mazungumzo na CCM.

CHADEMA wanarudi kwenye meza ya mazungumzo wakiwa wameamua kuachana na akina Mwambukusi, Dkt. Slaa na Mdude CHADEMA kwenye harakati zao za bandari.

CHADEMA wameona mgogoro huo hauna faida kwa chama chao na ulikua unawagawa wanachama wao. Dkt Slaa pia amesha watarifu vijana wake wa Sauti ya watanzania kuwa rasmi sasa Hakuna mawasiliano na uongozi wa chadema mkuu.

Rai yangu, Dkt Slaa safari ya ACT wazalendo inakuhusu na kila lakheri makamanda kwenye maridhiano tena.
Hii yote ni njaa au?
 
Mimi nawapongeza Chadema kwa kukubali kushiriki maandalizi ya sheria za uchaguzi kule Zanzibar.
 
Mahesabu ya mwisho ya viongozi walio wengi wa Chadema ni kupata ubunge mwaka 2025. Ni wachache sana ndani ya hicho chama wanaowaza reforms za msingi za nchi hii ikibidi hata kusacrifice mambo ya ubunge
 
wengi wanafikiria malengo ya kunduliza kura za uraisi zipatikane kiasi wapate viti maalumu , ni mentality mbaya sana hii kwa wapinzani wa nchi hii
 
Tundu kakubali msimamo huo wa Mbowe? Au ndiyo kilichomfanya arudi kwao ughaibuni pasipo kuwaaga akina Mbowe?
 
Pwagu na pwaguzi
Wao ni wanasaisa na siasa ndo kazi na ndio maisha yao wacha wapambane
 
Tundu kakubali msimamo huo wa Mbowe? Au ndiyo kilichomfanya arudi kwao ughaibuni pasipo kuwaaga akina Mbowe?
Lissu amemaindi sana kuhusu msimamo wa kurudi kwenye maridhiano, anaweza kukaa ughaibuni muda sana
 
Anaweza kuanzisha chama chake pamoja na Dr Slaa, Mwabukusi na wengine wa aina hiyo toka chadema. Hivyo chadema kumeguka vipande viwili. Hata ACT ilimeguka toka chadema.
 
Baada ya sarakasi nyingi sana za CHADEMA, hatimaye kikao chao cha juzi kimeridhia warudi kwenye meza ya mazungumzo na CCM.

CHADEMA wanarudi kwenye meza ya mazungumzo wakiwa wameamua kuachana na akina Mwambukusi, Dkt. Slaa na Mdude CHADEMA kwenye harakati zao za bandari.

CHADEMA wameona mgogoro huo hauna faida kwa chama chao na ulikua unawagawa wanachama wao. Dkt Slaa pia amesha watarifu vijana wake wa Sauti ya watanzania kuwa rasmi sasa Hakuna mawasiliano na uongozi wa chadema mkuu.

Rai yangu, Dkt Slaa safari ya ACT wazalendo inakuhusu na kila lakheri makamanda kwenye maridhiano tena.
Uongo
 
Back
Top Bottom