Chadema kurusha Jambo lao ITV na Redio One, Usikose

Tanzania kupitia "2015 Act" haitambui "CRYPTOCURRENCY"....
Ni kwenda kinyume na sheria....
 
Mwenyewe kwa akili yake ndio kaichagua hiyo suti. Chama hakina pesa amechanganyikiwa
Kwani ni suti ya bei chee boss? Ni kweli hicho chama hakina hela maana hakifadhiliwi na wauza unga kama ccm.
 
Kwani ni suti ya bei chee boss? Ni kweli hicho chama hakina hela maana hakifadhiliwi na wauza unga kama ccm.
Chadema inapata ruzuku milioni 107 kila mwezi, tatizo wapigaji wengi hiyo pesa haijulikani inapokwenda
 
masisiemu walijitahidi sana kuingilia mfumo, ITV ilikatika zaidi ya mara 20 ili tu watu wasione. ninachowashauri chadema, tengenezeni clip nyingi mfanye hii kitu kwa mtandao, sambazeni clip ndogondogo ili watu wazione facebook, instagram, x na tiktok.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…