Chadema kurusha Jambo lao ITV na Redio One, Usikose

Chadema kurusha Jambo lao ITV na Redio One, Usikose

Tanzania kupitia "2015 Act" haitambui "CRYPTOCURRENCY"....
Ni kwenda kinyume na sheria....
 
Mwenyewe kwa akili yake ndio kaichagua hiyo suti. Chama hakina pesa amechanganyikiwa
Kwani ni suti ya bei chee boss? Ni kweli hicho chama hakina hela maana hakifadhiliwi na wauza unga kama ccm.
 
Kwani ni suti ya bei chee boss? Ni kweli hicho chama hakina hela maana hakifadhiliwi na wauza unga kama ccm.
Chadema inapata ruzuku milioni 107 kila mwezi, tatizo wapigaji wengi hiyo pesa haijulikani inapokwenda
 
Hii ndio Taarifa ya ghafla iliyotufikia hivi Punde

View attachment 3252242

No Reform No Election

========
Mengineyo: Inatarajiwa ITV kuvunja rekodi ya Watazamaji Tangu kuanzishwa kwake.

UPDATES
=======
Tayari Tuko Live ITV, fuatilia bure kabisa bila bando
masisiemu walijitahidi sana kuingilia mfumo, ITV ilikatika zaidi ya mara 20 ili tu watu wasione. ninachowashauri chadema, tengenezeni clip nyingi mfanye hii kitu kwa mtandao, sambazeni clip ndogondogo ili watu wazione facebook, instagram, x na tiktok.
 
Back
Top Bottom