Dah, wewe ndo mwendawazimu, Nyalandu na Msando wapi na wapi?Ha ha ha ha mara hii Nyalandu ameshakuwa Kamanda! Sio mshika makalio ya wanawake tena!!? Ama kweli kuwakubali machadema lazima uwe na moyo kama wa mwendawazimu!!
Mjinga kabisa huyo dogo! Wameona CDM imeshawazidi strategies.Mpuuzi wewe
Vipi mkuu CUF umehama? Au Prof. amewatoa kamasi?,!!Mungu ibariki Chadema .
We rudi mirembe, nani kamtaja Msando hapa?Dah, wewe ndo mwendawazimu, Nyalandu na Msando wapi na wapi?
Sasa wapi Nyalandu amechezea nyeti za wanawake?We rudi mirembe, nani kamtaja Msando hapa?
Ama kweli machadema Akili zenu sasa na za nyumbu tu!
Mimi ni mmoja wa wale waliowezesha Lipumba kuangukia pua Mahakamani .Vipi mkuu CUF umehama? Au Prof. amewatoa kamasi?,!!
Sawa na msafara wa ccm kupita barabara ya mwendokasi?Kamanda Nyalandu atakuwa laivu, bila kusahau kamanda Sumaye!!
This is pure comedy witj all of its splendors!
Chadema ya dj itabarikiwa na mungu sio Mungu.Mungu ibariki Chadema .
What is the logical connection hapa??Sawa na msafara wa ccm kupita barabara ya mwendokasi?
Jinsi watu walivyoizira chadema.Yarushwe watanzani waone ukweli wa mambo
Kweli mkuu hotuba za huyu xinaleta usingixi na njaa.Kabisa mkuu , watanzania wanahitaji hotuba zenye matumaini , wamechoka na hotuba za mikwara na zilizojaa ukatili.
Kwani wewe ndiyo unamiliki baraka za Mungu? Au kwa kuwa ni malaika wa mungu wenu basi unadhani mnavyozuia mikutano ya CHADEMA ndiyo mtaweza pia kuzuia na baraka kwa CHADEMA toka kwa Mungu aliye hai?Chadema ya dj itabarikiwa na mungu sio Mungu.
Ha ha ha ha mara hii Nyalandu ameshakuwa Kamanda! Sio mshika makalio ya wanawake tena!!? Ama kweli kuwakubali machadema lazima uwe na moyo kama wa mwendawazimu!!
Chadema ya dj toka abadili gia angani haijawahi barikiwa na Mungu bali mungu, huu ndo ukweli, unaweza ukapindisha uweke "ukweli" wako.Kwani wewe ndiyo unamiliki baraka za Mungu? Au kwa kuwa ni malaika wa mungu wenu basi unadhani mnavyozuia mikutano ya CHADEMA ndiyo mtaweza pia kuzuia na baraka kwa CHADEMA toka kwa Mungu aliye hai?
Chadema ya dj toka abadili gia angani haijawahi barikiwa na Mungu bali mungu, huu ndo ukweli, unaweza ukapindisha uweke "ukweli" wako.Kwani wewe ndiyo unamiliki baraka za Mungu? Au kwa kuwa ni malaika wa mungu wenu basi unadhani mnavyozuia mikutano ya CHADEMA ndiyo mtaweza pia kuzuia na baraka kwa CHADEMA toka kwa Mungu aliye hai?
Ni sehemu ya ajila yake, labda wewe ndio hujui.Hufananii hii comment Mkuu, wewe ni zaidi ya hivi, haya waachie kina cocochanel
Hivi kesi imeisha mkuu?? Sina taarifa nilikuwa Ulaya kikazi....!! Nipe taarifa mkuu!Mimi ni mmoja wa wale waliowezesha Lipumba kuangukia pua Mahakamani .
AsanteAfadhali tuone makamanda wetu wanasemaje live, tumechoka kumuona live Jaramogi
Chopa 5 kutumika .Chadema ya dj toka abadili gia angani haijawahi barikiwa na Mungu bali mungu, huu ndo ukweli, unaweza ukapindisha uweke "ukweli" wako.