Tetesi: CHADEMA kurusha live mikutano ya kampeni za uchaguzi wa madiwani

Tetesi: CHADEMA kurusha live mikutano ya kampeni za uchaguzi wa madiwani

barafuyamoto usibandike mabango yako mara mbilimbili. Nimekuuliza wewe unao uwezo wa kuzuia Baraka za Mungu aliye hai kwa CHADEMA?

Hivi kunusurika kwa Lissu kufa baada ya kumiminiwa risasi zote zile siyo Baraka za Mungu kwa CHADEMA!?
 
Mikutano yote ambayo Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe atakuwepo itakuwa live kupitia Facebook page Freeman Mbowe pamoja social media nyingine
 
Kumekucha ! Taarifa za chinichini zinadokeza kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo ( CHADEMA ) , Kinautafakari ushauri wa magwiji wa siasa nchini wa kurusha moja kwa moja mikutano yake ya kampeni za udiwani nchi nzima , hasa mikutano inayohutubiwa na viongozi wa kitaifa .

Ushauri huu umeletwa baada ya viongozi wakuu wakiongozwa na Mwenyekiti wa Taifa wa chama , Mh Freeman Mbowe kufungua kampeni kali sana kwenye kata ya Saranga Jimbo la Ubungo , Taarifa za magwiji wa siasa zinatanabaisha kwamba maneno mazito yaliyosemwa na Mh Mbowe kwenye mkutano huo wa kampeni , si ya hadhi ya Kata wala jimbo , ni hotuba kali iliyojaa ukweli mtupu yenye hadhi ya KITAIFA , taarifa zinasema hotuba kali kama ile kuishia Kimara pekee ni sawa na kuwanyima haki ya kupata taarifa Watanzania wengine nchi nzima .

Ni matumaini yangu ushauri wa magwiji wa siasa utafanyiwa kazi haraka .

CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE

Nakala kwa Molemo na Mwanahabari Huru .
Asante sana tutarudi kwako
 
Hata wakirusha live, hakuna watachoambulia
 
Back
Top Bottom