Tetesi: CHADEMA kurusha live mikutano ya kampeni za uchaguzi wa madiwani

Tetesi: CHADEMA kurusha live mikutano ya kampeni za uchaguzi wa madiwani

Kwani wewe ndiyo unamiliki baraka za Mungu? Au kwa kuwa ni malaika wa mungu wenu basi unadhani mnavyozuia mikutano ya CHADEMA ndiyo mtaweza pia kuzuia na baraka kwa CHADEMA toka kwa Mungu aliye hai?
Naona mna jaribu kumhusisha Mungu na mambo ya kijinga kabisa.



#naenda_zimbabwe
 
Nilikuwa workshop hata nafasi ya kuingia JF ilikosekana si unajua Hapa Kazi Tu
Kweli ndugu yangu, hata yule mshauri wa wanunuzi naye amedai anakosa muda wa kufuatilia mambo ya mitandaoni!
 
Hivi kesi imeisha mkuu?? Sina taarifa nilikuwa Ulaya kikazi....!! Nipe taarifa mkuu!
Ulaya usiyopata habari za kinachoendelea dunianiiii?!!! Labda ile ya BC siyo AD. Danganya malofa wenzako.
Sawa waje Azam tv walipie. Au la warushe kwa Youtube na media zingine ndogondogo, tuna uhakika kuwa vijijini wataona[emoji111]
 
Back
Top Bottom