Tetesi: CHADEMA kurusha live mikutano ya kampeni za uchaguzi wa madiwani

barafuyamoto usibandike mabango yako mara mbilimbili. Nimekuuliza wewe unao uwezo wa kuzuia Baraka za Mungu aliye hai kwa CHADEMA?

Hivi kunusurika kwa Lissu kufa baada ya kumiminiwa risasi zote zile siyo Baraka za Mungu kwa CHADEMA!?
 
Mikutano yote ambayo Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe atakuwepo itakuwa live kupitia Facebook page Freeman Mbowe pamoja social media nyingine
 
Asante sana tutarudi kwako
 
Hata wakirusha live, hakuna watachoambulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…