WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Hatuthubutu kumpa nchi kinyonga.Hawa viongozi hawana uzalendo na chama chao,nakubaliana kabia kuwa kwa uraisi ni kupoteza muda hawapati wekeni nguvu kwa wabunge na madiwani. Lissu Mbowe tulizeni misuka mpeni dr Silaa mara kumi siyo nyinyi kugombeq urais.