WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Hatuthubutu kumpa nchi kinyonga.Hawa viongozi hawana uzalendo na chama chao,nakubaliana kabia kuwa kwa uraisi ni kupoteza muda hawapati wekeni nguvu kwa wabunge na madiwani. Lissu Mbowe tulizeni misuka mpeni dr Silaa mara kumi siyo nyinyi kugombeq urais.
Hujafa hujaumbika mkuu. Usimcheke mwenzako kwa Hila za CCM .Lissu anataka urais,ikitokea vita sijui ataendaje mstari wa mbele, sasa hivi anajifanya kuandamana watu wamuone mzima, kumbe mavyuma yanajikoroga ndani humo, na aombe chadema wenzake wasizue vurugu katika maandamano, wamsukume aaanguke
Takataka nyingine hiiNi wazi Viongozi wa Chadema wanaenda KUKIPASUA CHAMA Chao Mapande Mapande kutokana na kujaa Uroho na Tamaa ya Kutaka Urais.Mbowe anautaka Urais na Lissu anautaka Urais.
Kutokana na Kushindwa kupatikana KATIBA MPYA na TUME HURU na HAKI ya Uchaguzi ni wazi Uchaguzi wa 2025 unaenda kufanyika kwa KATIBA na TUME ile ile ya Miaka yote inayowanyima Ushindi hata pale mnaposhinda.
Nawashangaa Viongozi wa CHADEMA badala ya kupigania Kupata WABUNGE na MADIWANI wanapigania nani awe Mgombea Urais Urais ambao CCM hata iweje HAITAUACHIA KAMWE.CCM imegoma Kubadilisha KATIBA na TUME ya UCHAGUZI sio kwa Bahati Mbaya bali kwa MAKUSUDI ili ISHINDE UCHAGUZI 2025.
VIONGOZI wa CHADEMA mnaenda KUKIPASUA Chama chenu kwa Uroho na Tamaa ya URAIS URAIS ambao HAMTAUPATA KAMWE.
Hiyo ndoto Yako kama bado ujanya kitandani mshukuru mola wakoLissu anataka urais,ikitokea vita sijui ataendaje mstari wa mbele, sasa hivi anajifanya kuandamana watu wamuone mzima, kumbe mavyuma yanajikoroga ndani humo, na aombe chadema wenzake wasizue vurugu katika maandamano, wamsukume aaanguke
HAKUNA FALA ANAEWEZA WAPA WACHAGA NCHI WEWE
Usiseme sisi.Sisi MAFALA tutawapa.
Sawa mheshimiwa.CHADEMA tuko wengi na tunamkubali sana Tundu Lissu,Freeman Mbowe na John Heche.Sasa jamaa kasema hakuna fara yeyote atakayewapigia kura CHADEMA.Kwa vile anatuona sisi CHADEMA kama MAFALA basi anajibiwa kifala ili kupunguza mihemko na jazba.Na nafikiri vichwa vingi vimeona huo upuuzi wa kukejeli viongozi wetu kisa tu ni CHADEMA.Mungu wa mbinguni akubariki ila mimi nimekubali kuitwa fala kwa sababu Viongozi wangu nawapenda kuliko anavyojifikiria ndugu BIGSHOW.Usiseme sisi.
Sema mimi
Kwako lakini kwetu wapenda nchi Lisu ni LULU.LISU hafai hata kuwa mjumbe wa nyumba 10
SIJAKUELEWA NI LINI MBOWE ALISEMA ANAUTAKA URAIS? KWELI UJINGA NAO NI KIPAJI NAONA UNA KIPAJI CHA UPOTOSHAJI NA UONGONi wazi Viongozi wa Chadema wanaenda KUKIPASUA CHAMA Chao Mapande Mapande kutokana na kujaa Uroho na Tamaa ya Kutaka Urais.Mbowe anautaka Urais na Lissu anautaka Urais.
Kutokana na Kushindwa kupatikana KATIBA MPYA na TUME HURU na HAKI ya Uchaguzi ni wazi Uchaguzi wa 2025 unaenda kufanyika kwa KATIBA na TUME ile ile ya Miaka yote inayowanyima Ushindi hata pale mnaposhinda.
Nawashangaa Viongozi wa CHADEMA badala ya kupigania Kupata WABUNGE na MADIWANI wanapigania nani awe Mgombea Urais Urais ambao CCM hata iweje HAITAUACHIA KAMWE.CCM imegoma Kubadilisha KATIBA na TUME ya UCHAGUZI sio kwa Bahati Mbaya bali kwa MAKUSUDI ili ISHINDE UCHAGUZI 2025.
VIONGOZI wa CHADEMA mnaenda KUKIPASUA Chama chenu kwa Uroho na Tamaa ya URAIS URAIS ambao HAMTAUPATA KAMWE.
Usimpe kipaji cha LISUSIJAKUELEWA NI LINI MBOWE ALISEMA ANAUTAKA URAIS? KWELI UJINGA NAO NI KIPAJI NAONA UNA KIPAJI CHA UPOTOSHAJI NA UONGO
Eti umetumwa kuleta mfarakanoNi wazi Viongozi wa Chadema wanaenda KUKIPASUA CHAMA Chao Mapande Mapande kutokana na kujaa Uroho na Tamaa ya Kutaka Urais.Mbowe anautaka Urais na Lissu anautaka Urais.
Kutokana na Kushindwa kupatikana KATIBA MPYA na TUME HURU na HAKI ya Uchaguzi ni wazi Uchaguzi wa 2025 unaenda kufanyika kwa KATIBA na TUME ile ile ya Miaka yote inayowanyima Ushindi hata pale mnaposhinda.
Nawashangaa Viongozi wa CHADEMA badala ya kupigania Kupata WABUNGE na MADIWANI wanapigania nani awe Mgombea Urais Urais ambao CCM hata iweje HAITAUACHIA KAMWE.CCM imegoma Kubadilisha KATIBA na TUME ya UCHAGUZI sio kwa Bahati Mbaya bali kwa MAKUSUDI ili ISHINDE UCHAGUZI 2025.
VIONGOZI wa CHADEMA mnaenda KUKIPASUA Chama chenu kwa Uroho na Tamaa ya URAIS URAIS ambao HAMTAUPATA KAMWE.
Ni wazi Viongozi wa Chadema wanaenda KUKIPASUA CHAMA Chao Mapande Mapande kutokana na kujaa Uroho na Tamaa ya Kutaka Urais.Mbowe anautaka Urais na Lissu anautaka Urais.
Kutokana na Kushindwa kupatikana KATIBA MPYA na TUME HURU na HAKI ya Uchaguzi ni wazi Uchaguzi wa 2025 unaenda kufanyika kwa KATIBA na TUME ile ile ya Miaka yote inayowanyima Ushindi hata pale mnaposhinda.
Nawashangaa Viongozi wa CHADEMA badala ya kupigania Kupata WABUNGE na MADIWANI wanapigania nani awe Mgombea Urais Urais ambao CCM hata iweje HAITAUACHIA KAMWE.CCM imegoma Kubadilisha KATIBA na TUME ya UCHAGUZI sio kwa Bahati Mbaya bali kwa MAKUSUDI ili ISHINDE UCHAGUZI 2025.
VIONGOZI wa CHADEMA mnaenda KUKIPASUA Chama chenu kwa Uroho na Tamaa ya URAIS URAIS ambao HAMTAUPATA K
Kiongozi wa "MALAIKA" alihidi hadi 2020 hakutakuwa na upinzani nji ii....Ni wazi Viongozi wa Chadema wanaenda KUKIPASUA CHAMA Chao Mapande Mapande kutokana na kujaa Uroho na Tamaa ya Kutaka Urais.Mbowe anautaka Urais na Lissu anautaka Urais.
Kutokana na Kushindwa kupatikana KATIBA MPYA na TUME HURU na HAKI ya Uchaguzi ni wazi Uchaguzi wa 2025 unaenda kufanyika kwa KATIBA na TUME ile ile ya Miaka yote inayowanyima Ushindi hata pale mnaposhinda.
Nawashangaa Viongozi wa CHADEMA badala ya kupigania Kupata WABUNGE na MADIWANI wanapigania nani awe Mgombea Urais Urais ambao CCM hata iweje HAITAUACHIA KAMWE.CCM imegoma Kubadilisha KATIBA na TUME ya UCHAGUZI sio kwa Bahati Mbaya bali kwa MAKUSUDI ili ISHINDE UCHAGUZI 2025.
VIONGOZI wa CHADEMA mnaenda KUKIPASUA Chama chenu kwa Uroho na Tamaa ya URAIS URAIS ambao HAMTAUPATA KAMWE.
Chadema haitasambaratika kamwe na urais wataupata, ni suala la muda tu.Ni wazi Viongozi wa Chadema wanaenda KUKIPASUA CHAMA Chao Mapande Mapande kutokana na kujaa Uroho na Tamaa ya Kutaka Urais.Mbowe anautaka Urais na Lissu anautaka Urais.
Kutokana na Kushindwa kupatikana KATIBA MPYA na TUME HURU na HAKI ya Uchaguzi ni wazi Uchaguzi wa 2025 unaenda kufanyika kwa KATIBA na TUME ile ile ya Miaka yote inayowanyima Ushindi hata pale mnaposhinda.
Nawashangaa Viongozi wa CHADEMA badala ya kupigania Kupata WABUNGE na MADIWANI wanapigania nani awe Mgombea Urais Urais ambao CCM hata iweje HAITAUACHIA KAMWE.CCM imegoma Kubadilisha KATIBA na TUME ya UCHAGUZI sio kwa Bahati Mbaya bali kwa MAKUSUDI ili ISHINDE UCHAGUZI 2025.
VIONGOZI wa CHADEMA mnaenda KUKIPASUA Chama chenu kwa Uroho na Tamaa ya URAIS URAIS ambao HAMTAUPATA KAMWE.
Mazuzu ni Baba yako, mama yako, Bibi yako, watoto zako, mume wako, ukifika nyumbani leo watizame.Kama wewe zuzu.
lulu wa marehemu kanumba?Kwako lakini kwetu wapenda nchi Lisu ni LULU.
Chadema imeshakufaNi wazi Viongozi wa Chadema wanaenda KUKIPASUA CHAMA Chao Mapande Mapande kutokana na kujaa Uroho na Tamaa ya Kutaka Urais.Mbowe anautaka Urais na Lissu anautaka Urais.
Kutokana na Kushindwa kupatikana KATIBA MPYA na TUME HURU na HAKI ya Uchaguzi ni wazi Uchaguzi wa 2025 unaenda kufanyika kwa KATIBA na TUME ile ile ya Miaka yote inayowanyima Ushindi hata pale mnaposhinda.
Nawashangaa Viongozi wa CHADEMA badala ya kupigania Kupata WABUNGE na MADIWANI wanapigania nani awe Mgombea Urais Urais ambao CCM hata iweje HAITAUACHIA KAMWE.CCM imegoma Kubadilisha KATIBA na TUME ya UCHAGUZI sio kwa Bahati Mbaya bali kwa MAKUSUDI ili ISHINDE UCHAGUZI 2025.
VIONGOZI wa CHADEMA mnaenda KUKIPASUA Chama chenu kwa Uroho na Tamaa ya URAIS URAIS ambao HAMTAUPATA KAMWE.
Pamoja na ushuzi unaoandika lakini hakuna steji ya elimu ilopita bila kufundishwa na mchaga, najua umewahi umwa wachaga ni kati ya watu walowahi kukutibu, walikufanyia na upasuaji Wala hawakukuibia figo, huwenda hata mama Yako wakati anakuzaa alizalishwa na mchaga, hata benki ulihudumiwa na mchaga mbona koote huko hukugoma? Na mbona upo salama Kwa hiyo wachaga kuchukua nchi ndo iwe nongwa?HAKUNA FALA ANAEWEZA WAPA WACHAGA NCHI WEWE