Pamoja na ushuzi unaoandika lakini hakuna steji ya elimu ilopita bila kufundishwa na mchaga, najua umewahi umwa wachaga ni kati ya watu walowahi kukutibu, walikufanyia na upasuaji Wala hawakukuibia figo, huwenda hata mama Yako wakati anakuzaa alizalishwa na mchaga, hata benki ulihudumiwa na mchaga mbona koote huko hukugoma? Na mbona upo salama Kwa hiyo wachaga kuchukua nchi ndo iwe nongwa?