Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Chama kinastahili lawama maana hakiwachukulii hatua watu kama hawa. Msimamo wake kuhusu wale waliokubali matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2020 hauko wazi. Chadema haijaweka wazi msimamo wake kuhusu madiwani na mbunge wake ambao wanakiwakilisha kwenye Halmashauri na Bungeni. Ndio maana watu kama hawa wameanza kujitokeza na watashiriki kwenye chaguzi za 2024 na 2025 bila kujali msimamo wa chama chao...huyo bwana ni mtovu wa nidhamu.
..hapo alaumiwe mtu binafsi sio chama.
Chadema ndio inatakiwa kutoa tamko sio sisi.Huyo hajatumwa na chama mwambieni awaeleze nani kamtuma
Nimeona mahali mtu aliyetambulishwa kama Katibu wa CHADEMA Handeni, Kombo Matulu akihimiza wananchi wakampigie kura mgombea wa CUF.
Inaelekea CHADEMA wamebadilisha msimamo wao kuhusu kutoshiriki katika katika uchaguzi wowote mpaka Katiba mpya itakapopatikana.
Amandla.
Pandikizi kwa vipi? Kwani Katibu wa Chadema Handeni sio Kombo Matulu?
dakika 1:26
Amandla..
Chadema ndio inatakiwa kutoa tamko sio sisi.
Amandla....
CHADEMA hata hawahangaiki lakini CCM wanatumia mbinu zoteHuyo pandikizi, Chadema bila Katiba hatushiriki Uchaguzi.
Kusimama jukwaani na kusema mpigie kura fulani ni kushiriki katika uchaguzi. Sio lazima ukae high table ndio useme umeshiriki kwenye harusi.Mbona hueleweki? Unadai CHADEMA inashiriki hapo happy unasema kawaambia waipigie kura CUF. Sasa CHADEMA imeshiriki kivipi?. Tangu ziara ya mama Lindi naona mnailazimisha CHADEMA kwenye mambo ya kijinga
Imetoa tamko wapi? Kama Chadema hawaoni kuwa kumruhusu Katibu wake kumnadi mgombea katika uchaguzi ambao wao wanadai hawautambui kunaweza kutumika kuonyesha kuwa wao ni wanafik basi wana matatizo makubwa.Chama kilishatoa tamko. Huyo katibu kahudhuria Kama mgeni tu wa CUF.
Unaendaje kumpa support mtu anaeshiriki katika uchaguzi ambao hauutambui? Kwa hiyo Chadema wanaweza kuwanadi ACT Wazalendo katika uchaguzi wa 2025 ikiwa wao watakataa kushiriki? Watawaambia nini wanachama wao waliowazuia kushiriki huku wakisimama kumpigia debe mgombea wa chama kingine?Mbona huo mkutano wa CUF?. Yeye kaenda kuwapa support CUF .
Chama kinastahili lawama maana hakiwachukulii hatua watu kama hawa. Msimamo wake kuhusu wale waliokubali matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2020 hauko wazi. Chadema haijaweka wazi msimamo wake kuhusu madiwani na mbunge wake ambao wanakiwakilisha kwenye Halmashauri na Bungeni. Ndio maana watu kama hawa wameanza kujitokeza na watashiriki kwenye chaguzi za 2024 na 2025 bila kujali msimamo wa chama chao.
Amandla...
Unaendaje kumpa support mtu anaeshiriki katika uchaguzi ambao hauutambui? Kwa hiyo Chadema wanaweza kuwanadi ACT Wazalendo katika uchaguzi wa 2025 ikiwa wao watakataa kushiriki? Watawaambia nini wanachama wao waliowazuia kushiriki huku wakisimama kumpigia debe mgombea wa chama kingine?
Amandla....
Imetoa tamko wapi? Kama Chadema hawaoni kuwa kumruhusu Katibu wake kumnadi mgombea katika uchaguzi ambao wao wanadai hawautambui kunaweza kutumika kuonyesha kuwa wao ni wanafik basi wana matatizo makubwa.
Amandla...
Kusimama jukwaani na kusema mpigie kura fulani ni kushiriki katika uchaguzi. Sio lazima ukae high table ndio useme umeshiriki kwenye harusi.
Hamna mtu anaowalazimisha Chadema bali ni wenyewe ndio wanatoa nafasi ya kuonekana kama ndumila kuwili.
Amandla...
Kusimama jukwaani na kusema mpigie kura fulani ni kushiriki katika uchaguzi. Sio lazima ukae high table ndio useme umeshiriki kwenye harusi.
Hamna mtu anaowalazimisha Chadema bali ni wenyewe ndio wanatoa nafasi ya kuonekana kama ndumila kuwili.
Amandla...