Tetesi: CHADEMA kushirikiana na UKAWA kurudi Bungeni kwa kishindo kikuu

Tetesi: CHADEMA kushirikiana na UKAWA kurudi Bungeni kwa kishindo kikuu

Mbowe anasema kambi ya upinzani hawawezi kuandaa bajeti za kambi ya upinzani kwa kuwa hawana wataalamu wa kuandaa bajeti, wangeanza kujinasua hapo kwanza. Ni aibu KUB kutegemea wataalamu wa Bunge kumuandalia bajeti akimaliza analitukana bunge tena.
Tatizo malipo yao lazima yalipwe na serikali.
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji36] [emoji36] [emoji36]

Mkuu Mshana Jr utapata ugonjwa wa akili bure kujibu hizo pumba za hao jamaa(na wasiwasi ni robot vile??!!). Sometime bora usiwajibu tu... Upumbavu wa kiasi hicho ngumu sana kuujibu..... Anyway unawajibu kwa icons .. Teh teh teh...
 
Nimeelewa vtu viwili tu katiba mpya na tume huru kama watakuwa strong kulisimamia tofauti na hapo upinzan bora ufutwe
Impossible case!
It will never happen!
 
hongereni mkakati ni mzuri,

fanyeni kweli usiishie tu kwenye maandishi/press
 
Back
Top Bottom