Pre GE2025 CHADEMA kushirikiana na Wanajeshi kufanya usafi Januari 24, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Karibuni, tutachambua tunaowataka wakasaidiane na magreda kule dampo
 
Bora muwe mnatoa elimu ya sera yenu ili watu wafahamu wakiwaamini kuwapa madaraka. nini ni kipaumbele na lipi lengo na njia ipi kufikia lengo
Hayo ystasaidia kuliko haya mengine ya kuzingushana kama paka na panya.

Mbona sera zinatolewa kwenye mikutano ya CHADEMA.
 
Jipendekezeni tu, mkiliwa viboga msije hapa kulalamika.
 
Ni habari njema.

Nchi ni yetu sote.

Tuoneshe uzalendo kwa kuungana na Majeshi yetu kwenye huduma za kijamii
 
Sasa hapo akili gani? Wenzako wanafanya usafi tarehe 23-24, wew unataka kuandamana tarehe 24 wakati wenzako wanafanya usafi unadhani utaweza? Hio ni propaganda ila haitaisaidia

..kwani haiwezekani wanajeshi kufanya usafi na Chadema wakaandamana?

..kwa mfano, Chadema wanaweza kuandamana ktk eneo ambalo wanajeshi wamemaliza kufanya usafi.
 
Hii nimeipenda. Usafik kwanza kisha maandamano kama kawaida.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…