Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kupata vichekesho kama hivi wasiliana na Dj mbowe😂😂
Bora muwe mnatoa elimu ya sera yenu ili watu wafahamu wakiwaamini kuwapa madaraka. nini ni kipaumbele na lipi lengo na njia ipi kufikia lengo
Hayo ystasaidia kuliko haya mengine ya kuzingushana kama paka na panya.
Wewe uliliwa Kiboga?Jipendekezeni tu, mkiliwa viboga msije hapa kulalamika.
Nimewahi kushuhudia vinabo wa dizaini yenu wakishikishwa adabuWewe uliliwa Kiboga?
Ni habari njema.View attachment 2873456
TANZANIA: CHADEMA KUSHIRIKIANA NA JESHI KUFANYA USAFI ILI JAN 24 WAANDAMANE SEHEMU SAFI
"Tunategemea tarehe 23 Januari 2024 Jeshi likafanye usafi katika maeneo hayo tutakayoandamana tarehe 24 Januari 2024, na sisi tutashirikiana nao kwa kuwapa ushirikiano, tutawaambia wanachama wetu wakalisaidie Jeshi kufanya usafi ili tukaandamane katika barabara na njia iliyosafi." - @JonMrema, Mkurugenzi wa Itikadi @ChademaTz.
Sasa hapo akili gani? Wenzako wanafanya usafi tarehe 23-24, wew unataka kuandamana tarehe 24 wakati wenzako wanafanya usafi unadhani utaweza? Hio ni propaganda ila haitaisaidia