CHADEMA kuteketezwa

CHADEMA kuteketezwa

Matokeo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa ndio kithibitisho kama CHADEMA bado wapo au wamekufa.

Mwenye matokeo atumwagie hapa haataa kwa muhtasari tu.

Kwa mtu yeyote mjinga anaweza kudhani kwamba kweli kipimo ni Uchaguzi wa juzi wa mitaa .Uchaguzi ulijaa ubabe na hongo kubwa .Serikali na CCM walihaha kutaka kushinda ili kunyesha wanakubalika. Hataunchaguzi wa mitaa FFU wnatumika ? Unajua wakuu wa Wilaya walicho kifanya Nchi nzima ama unaongea tu ?
 
Nijuavyo mimi, Kule Kigoma CCM na WAPINZANI wamegawana Kura (33 kwa 33)

Yaani CHADEMA PekE yao Ktk uchaguzi wa Serikali za Mitaa wamepata naiiita Majimbo 31 na CCM 33, CUF 1 & TLP 1
 
ni kweli nipo nje na katibu mkuu anajua. nipo jordan kuongoza mkutano wa mtandao wa wabunge ambao mimi ni mwenyekiti mwenza.

Nashukuru Mheshimiwa kuwafahamisha JF wapime, kwani majungu hayajengi. Jamani tuache udaku tulete habari za uhakika. Nakutakia safari njema.
 
Kazi kweli kweli! Kila mtu kivyake...... Tumrudie Mungu tu... Angalau tule matunda ya uzima.... Maana uwezekano wa kula matunda ya nchi yetu Tanzania inaonekana kuwa "IMPOSSIBLE".. Unless tupate HITLER mpenda haki awatoe viongozi wote waliopo kwa nguvu ya mtutu bila kutumia demokrasia........ Au tuombe uraia wa nchi zingine tuwaachie MAFISADI Nchi yao... Huenda tulizaliwa Tanzania kwa bahati mbaya... Huenda we unaesoma hii meseji ulitakiwa uishi hata CUBA...
 
''Tatu, Zito ameahidiwa Uwaziri wa Nishati na Madini kwenye awamu ijayo. Conditon ni kuingia CCM. Ili kuwa mzuri katika hiyo field, ameanza masomo yake nchini Ujerumani akichukua masuala ya sheria za mikataba ya madini kwa mwaka mmoja.

Nne, ameanza kuwa kunolewa katika siasa za kimataifa ili kuandaliwa vyema. Kukaa kwake Bungeni ni nadra sana, au kwenye shughuli za Chama chake. Lengo ni kupunguza uwajibikaji wake katika Bunge na Chama.

Tano, Sina hakika kama Zito yupo tayari kuhamia CCM kama Usalama unavyoamini, ila akicheza mpira vizuri atapewa Uwaziri wa Nishati na Madini akiwa bado chadema mwaka 2011 na JK''-Kigugumizi November 2009.

I think is high time for JF member to refine these posts.

Unajua mtu anapobuni kitu na wewe ukaingia kwenye mtego huo,basi amekupata.

Our culture is to have evidences , na hii ndio misingi ya JF.

Mchezo huu ukiendelea hatutafaya kitu, huwa nasema wale wote waliojitolea kulipigania hili taifa tunawalindaje? kwa majungu kama haya? kesho akiraise mwingine tutasema kitu, where are we going?

We are praying day and night at least to have some people who will stand for goodness of this country, yet we are the very same people trying to discourage these leaders without any evidences.

Nani tutamuamini sasa, nani atakayetokea nchi hii na tukamwelewa na kumkubali woote Tz hii?

Angalia hiyo post, wakati point namba tatu anaainisha kuwa Zitto ameshaanza masomo tayari ili awe fit hiyo field, in other words tayari indirectly ameshakubaki kuhamia CCM, point namba tano anasema HANA HAKIKA!

Yet ZITO ATAPEWA UWAZIRI AKIWA CHADEMA, CCM LINI WAMEBADILI KATIBA NA KUJENGA SERIKALI YA VYAMA VINGI??

Kama moderators hamna uwezo wa kuchanganua aina ya post zenye absolute equivocations kama hizi, BASI LENGO LA JF litakuwa limedoda

Samahani may be this is high time for me to quit being a member in this forum, acheni ni waachie wenye akili zaidi.

Naamini mapenzi yangu kwa Zitto na baadhi ya wapinzani kama akina Slaa , Lissu nk yananifanya kwa UPENDO NIACHE HII FORUM

We can not destroying what we are suppose to build and leave CCM celebrating our dormant mind.

Zitto , STAY FOCUS

Siku ukihamia CCM nitarudi tena JF for the same name, but for now as you are in CHADEMA sitakuwa tena mwanachama WA JF mpaka hizi allegations ziwe sorted out.

Sitaharibu wala sitaipunguzia chochote JF at least mimi itaniweka kwenye hali nzuri saikolojikaly.

Sitaki nije kuhukumiwa na historia, sitaki ninyoshee vidole wengine wakati na mimi sitimizi wajibu wangu, SItaki kuwa sehemu yoyote ya kuja kulaumiwa. Kama mapambano acha niwaze kivingine

lakini sio kuja humu na kusoma scrap post kama hizi yet nizishabikie au kupoteza muda, ziko nyingi zifananazo na hizi, ambazo hazituweki katika image nzuri, kwa watu walio serious na nchi hii.Majungu,fitina, uzushi, kuwa-naive ndio imekuwa jadi yetu.

What will be the different kati yangu mimi na wale vijana wasiosoma vijiweni,ambao kazi yao kubwa wakishavuta bangi na kuosha magari na kupiga soga then the day is over.

I thought JF will be a holy place to really discuss ideas and train our leaders especially these young ones

Kuna vijana wangapi kwenye siasa za Tanzania? wengine wako wapi? je waliopo wanafanya nini? are we mad enough to eat our own cakes and expecting to have one in our own hands?? I usually jokes to graduates at UDSM kuwa wakishamaliza chuo the best positions they can take ni kuwa wenyeviti wa kamati za harusi! nani ameturoga tusiiwazie nchi hii, tuwazie ubinafsi,wivu na fiction stories!

Sorry about this but I wish you the best, I believe someone amenielewa.

If JF is a place for wasting time,go on,If JF is a place for serious business, then do it, and do it perfectly.

I believe i JF will always be, but for the sake of what I believe let me stay out of this at least for good reasons

Lastly, if things will go like this, take my words changes will be a dream of far future generations, because no one will be believed in Tanzania.

All the best in building this country, play your part

cheers

Zitto I will find you, nikirudi Tz next year,

You have my support and will keep praying for you and all others that are doing something for this country.

Again Stay focus , these are common issues though I will not entertain one.
 
Matokeo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa ndio kithibitisho kama CHADEMA bado wapo au wamekufa.

Mwenye matokeo atumwagie hapa haataa kwa muhtasari tu.

Jana Mbunge, Dr. Slaa ameelezea kuwa kwenye jimbo lake analoliongoza alikuwa hana mjumbe hata mmoja kwenye serikali za mitaa, kama sikosei soma raia mwema au Mwanahalisi. Ndo juzi juzi watu wameanza kujua hiki kitu!

Ulizia humu JF ni wangapi wamepiga kura, Nadhani Elimu ya hii kitu haikutolewa, na pia uchaguzi huu umesimamiwa na CCM yenyewe. Pitia hivyo vitabu vyao vya TAMISEMI mtu yeyote bila kujua anatoka wapi anaweza kujiandikisha na mtu yeyote bila kujua anatoka wapi anaweza kupiga kura, huo ni uchaguzi kweli?
 
Chukua tano
Watu si majungu tu bali hata fitina . Huyu kijana namjua kuihama Chadema aende CCM sijui atakuwa anataka nini .Acheni dhihaka mtendeeni Zitto haki .
 
Jana Mbunge, Dr. Slaa ameelezea kuwa kwenye jimbo lake analoliongoza alikuwa hana mjumbe hata mmoja kwenye serikali za mitaa, kama sikosei soma raia mwema au Mwanahalisi. Ndo juzi juzi watu wameanza kujua hiki kitu!

Ulizia humu JF ni wangapi wamepiga kura, Nadhani Elimu ya hii kitu haikutolewa, na pia uchaguzi huu umesimamiwa na CCM yenyewe. Pitia hivyo vitabu vyao vya TAMISEMI mtu yeyote bila kujua anatoka wapi anaweza kujiandikisha na mtu yeyote bila kujua anatoka wapi anaweza kupiga kura, huo ni uchaguzi kweli?

Ninacho jua mimi ni kwamba hata CCM wame nyoosha mkono kwamba Slaa hawamwezi . Uchaguzi huu CCM wametoka kapa tena ulizia CCM Arusha utaambiwa .
 
Ntalishangaa sana kanisa kukubali kutumika katika mambo ya kuchafua watu.Litakuwa jambo baya ambalo litaweka credibility yake kwenye mashaka. Ngoja tusubiri tuyaone
 
Asante sana. Sasa naanza kuelewa kwamba kuna watu muhimu sana wanasoma mambo yanayoandikwa humu JF na wengine hudiriki hata kujibu hoja kwa kutumia majina yao halisi pasi kigugumizi.

Kuna wakati Tanzanet walikuwa wanasema JF wanatumia majina bandia na kuongea umbea. Siku zote tangu nijiunge JF ninaona watu serious na watu hovyo wanaleta mambo. Ni rahisi kujua mambo hovyo ukaachana nayo, ni rahisi pia kujua mambo serious ukayazingatia. Zitto ni jina mojawapo halisi naamini.

Heko JF!

Leka
 
Hata mimi ningehamia CCM ikiwa nitapewa nafasi ya kuonyesha uwezo wangu ktk uongozi kuliko kuganda na chama kisichokuwa na mwelekeo...Upuuzi mtupu!
Unatuzuga nini? mbona uko huko siku nyingi? Mchana Chadema usiku sisi m.
Nani uliwahi kusikia anamkana mama yake kwa sababu ni kilema?
 
Zitto, achana na hawa watu wenye ndoto za alinacha! wanafikiri siasa ni fedha tu waambie siasa ni wito
 
''Tatu, Zito ameahidiwa Uwaziri wa Nishati na Madini kwenye awamu ijayo. Conditon ni kuingia CCM. Ili kuwa mzuri katika hiyo field, ameanza masomo yake nchini Ujerumani akichukua masuala ya sheria za mikataba ya madini kwa mwaka mmoja.

Nne, ameanza kuwa kunolewa katika siasa za kimataifa ili kuandaliwa vyema. Kukaa kwake Bungeni ni nadra sana, au kwenye shughuli za Chama chake. Lengo ni kupunguza uwajibikaji wake katika Bunge na Chama.

Tano, Sina hakika kama Zito yupo tayari kuhamia CCM kama Usalama unavyoamini, ila akicheza mpira vizuri atapewa Uwaziri wa Nishati na Madini akiwa bado chadema mwaka 2011 na JK''-Kigugumizi November 2009.

I think is high time for JF member to refine these posts.

Unajua mtu anapobuni kitu na wewe ukaingia kwenye mtego huo,basi amekupata.

Our culture is to have evidences , na hii ndio misingi ya JF.

Mchezo huu ukiendelea hatutafaya kitu, huwa nasema wale wote waliojitolea kulipigania hili taifa tunawalindaje? kwa majungu kama haya? kesho akiraise mwingine tutasema kitu, where are we going?

We are praying day and night at least to have some people who will stand for goodness of this country, yet we are the very same people trying to discourage these leaders without any evidences.

Nani tutamuamini sasa, nani atakayetokea nchi hii na tukamwelewa na kumkubali woote Tz hii?

Angalia hiyo post, wakati point namba tatu anaainisha kuwa Zitto ameshaanza masomo tayari ili awe fit hiyo field, in other words tayari indirectly ameshakubaki kuhamia CCM, point namba tano anasema HANA HAKIKA!

Yet ZITO ATAPEWA UWAZIRI AKIWA CHADEMA, CCM LINI WAMEBADILI KATIBA NA KUJENGA SERIKALI YA VYAMA VINGI??

Kama moderators hamna uwezo wa kuchanganua aina ya post zenye absolute equivocations kama hizi, BASI LENGO LA JF litakuwa limedoda

Samahani may be this is high time for me to quit being a member in this forum, acheni ni waachie wenye akili zaidi.

Naamini mapenzi yangu kwa Zitto na baadhi ya wapinzani kama akina Slaa , Lissu nk yananifanya kwa UPENDO NIACHE HII FORUM

We can not destroying what we are suppose to build and leave CCM celebrating our dormant mind.

Zitto , STAY FOCUS

Siku ukihamia CCM nitarudi tena JF for the same name, but for now as you are in CHADEMA sitakuwa tena mwanachama WA JF mpaka hizi allegations ziwe sorted out.

Sitaharibu wala sitaipunguzia chochote JF at least mimi itaniweka kwenye hali nzuri saikolojikaly.

Sitaki nije kuhukumiwa na historia, sitaki ninyoshee vidole wengine wakati na mimi sitimizi wajibu wangu, SItaki kuwa sehemu yoyote ya kuja kulaumiwa. Kama mapambano acha niwaze kivingine

lakini sio kuja humu na kusoma scrap post kama hizi yet nizishabikie au kupoteza muda, ziko nyingi zifananazo na hizi, ambazo hazituweki katika image nzuri, kwa watu walio serious na nchi hii.Majungu,fitina, uzushi, kuwa-naive ndio imekuwa jadi yetu.

What will be the different kati yangu mimi na wale vijana wasiosoma vijiweni,ambao kazi yao kubwa wakishavuta bangi na kuosha magari na kupiga soga then the day is over.

I thought JF will be a holy place to really discuss ideas and train our leaders especially these young ones

Kuna vijana wangapi kwenye siasa za Tanzania? wengine wako wapi? je waliopo wanafanya nini? are we mad enough to eat our own cakes and expecting to have one in our own hands?? I usually jokes to graduates at UDSM kuwa wakishamaliza chuo the best positions they can take ni kuwa wenyeviti wa kamati za harusi! nani ameturoga tusiiwazie nchi hii, tuwazie ubinafsi,wivu na fiction stories!

Sorry about this but I wish you the best, I believe someone amenielewa.

If JF is a place for wasting time,go on,If JF is a place for serious business, then do it, and do it perfectly.

I believe i JF will always be, but for the sake of what I believe let me stay out of this at least for good reasons

Lastly, if things will go like this, take my words changes will be a dream of far future generations, because no one will be believed in Tanzania.

All the best in building this country, play your part

cheers

Zitto I will find you, nikirudi Tz next year,

You have my support and will keep praying for you and all others that are doing something for this country.

Again Stay focus , these are common issues though I will not entertain one.
Mwanajeshi aliyejeruhiwa na kukimbia vita😱
Hufai.
Maana vita siku hizi inapiganwa kisayansi. Yaani hata kwa uongo unaoitwa kwa jina lingine propaganda🙂
 
Back
Top Bottom