Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa ndio kithibitisho kama CHADEMA bado wapo au wamekufa.Chadema mbona kimeshakufa...
Matokeo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa ndio kithibitisho kama CHADEMA bado wapo au wamekufa.
Mwenye matokeo atumwagie hapa haataa kwa muhtasari tu.
ni kweli nipo nje na katibu mkuu anajua. nipo jordan kuongoza mkutano wa mtandao wa wabunge ambao mimi ni mwenyekiti mwenza.
Matokeo ya Uchaguzi wa serikali za mitaa ndio kithibitisho kama CHADEMA bado wapo au wamekufa.
Mwenye matokeo atumwagie hapa haataa kwa muhtasari tu.
''Tatu, Zito ameahidiwa Uwaziri wa Nishati na Madini kwenye awamu ijayo. Conditon ni kuingia CCM. Ili kuwa mzuri katika hiyo field, ameanza masomo yake nchini Ujerumani akichukua masuala ya sheria za mikataba ya madini kwa mwaka mmoja.
Nne, ameanza kuwa kunolewa katika siasa za kimataifa ili kuandaliwa vyema. Kukaa kwake Bungeni ni nadra sana, au kwenye shughuli za Chama chake. Lengo ni kupunguza uwajibikaji wake katika Bunge na Chama.
Tano, Sina hakika kama Zito yupo tayari kuhamia CCM kama Usalama unavyoamini, ila akicheza mpira vizuri atapewa Uwaziri wa Nishati na Madini akiwa bado chadema mwaka 2011 na JK''-Kigugumizi November 2009.
I think is high time for JF member to refine these posts.
Unajua mtu anapobuni kitu na wewe ukaingia kwenye mtego huo,basi amekupata.
Our culture is to have evidences , na hii ndio misingi ya JF.
Mchezo huu ukiendelea hatutafaya kitu, huwa nasema wale wote waliojitolea kulipigania hili taifa tunawalindaje? kwa majungu kama haya? kesho akiraise mwingine tutasema kitu, where are we going?
We are praying day and night at least to have some people who will stand for goodness of this country, yet we are the very same people trying to discourage these leaders without any evidences.
Nani tutamuamini sasa, nani atakayetokea nchi hii na tukamwelewa na kumkubali woote Tz hii?
Angalia hiyo post, wakati point namba tatu anaainisha kuwa Zitto ameshaanza masomo tayari ili awe fit hiyo field, in other words tayari indirectly ameshakubaki kuhamia CCM, point namba tano anasema HANA HAKIKA!
Yet ZITO ATAPEWA UWAZIRI AKIWA CHADEMA, CCM LINI WAMEBADILI KATIBA NA KUJENGA SERIKALI YA VYAMA VINGI??
Kama moderators hamna uwezo wa kuchanganua aina ya post zenye absolute equivocations kama hizi, BASI LENGO LA JF litakuwa limedoda
Samahani may be this is high time for me to quit being a member in this forum, acheni ni waachie wenye akili zaidi.
Naamini mapenzi yangu kwa Zitto na baadhi ya wapinzani kama akina Slaa , Lissu nk yananifanya kwa UPENDO NIACHE HII FORUM
We can not destroying what we are suppose to build and leave CCM celebrating our dormant mind.
Zitto , STAY FOCUS
Siku ukihamia CCM nitarudi tena JF for the same name, but for now as you are in CHADEMA sitakuwa tena mwanachama WA JF mpaka hizi allegations ziwe sorted out.
Sitaharibu wala sitaipunguzia chochote JF at least mimi itaniweka kwenye hali nzuri saikolojikaly.
Sitaki nije kuhukumiwa na historia, sitaki ninyoshee vidole wengine wakati na mimi sitimizi wajibu wangu, SItaki kuwa sehemu yoyote ya kuja kulaumiwa. Kama mapambano acha niwaze kivingine
lakini sio kuja humu na kusoma scrap post kama hizi yet nizishabikie au kupoteza muda, ziko nyingi zifananazo na hizi, ambazo hazituweki katika image nzuri, kwa watu walio serious na nchi hii.Majungu,fitina, uzushi, kuwa-naive ndio imekuwa jadi yetu.
What will be the different kati yangu mimi na wale vijana wasiosoma vijiweni,ambao kazi yao kubwa wakishavuta bangi na kuosha magari na kupiga soga then the day is over.
I thought JF will be a holy place to really discuss ideas and train our leaders especially these young ones
Kuna vijana wangapi kwenye siasa za Tanzania? wengine wako wapi? je waliopo wanafanya nini? are we mad enough to eat our own cakes and expecting to have one in our own hands?? I usually jokes to graduates at UDSM kuwa wakishamaliza chuo the best positions they can take ni kuwa wenyeviti wa kamati za harusi! nani ameturoga tusiiwazie nchi hii, tuwazie ubinafsi,wivu na fiction stories!
Sorry about this but I wish you the best, I believe someone amenielewa.
If JF is a place for wasting time,go on,If JF is a place for serious business, then do it, and do it perfectly.
I believe i JF will always be, but for the sake of what I believe let me stay out of this at least for good reasons
Lastly, if things will go like this, take my words changes will be a dream of far future generations, because no one will be believed in Tanzania.
All the best in building this country, play your part
cheers
Zitto I will find you, nikirudi Tz next year,
You have my support and will keep praying for you and all others that are doing something for this country.
Again Stay focus , these are common issues though I will not entertain one.
Jana Mbunge, Dr. Slaa ameelezea kuwa kwenye jimbo lake analoliongoza alikuwa hana mjumbe hata mmoja kwenye serikali za mitaa, kama sikosei soma raia mwema au Mwanahalisi. Ndo juzi juzi watu wameanza kujua hiki kitu!
Ulizia humu JF ni wangapi wamepiga kura, Nadhani Elimu ya hii kitu haikutolewa, na pia uchaguzi huu umesimamiwa na CCM yenyewe. Pitia hivyo vitabu vyao vya TAMISEMI mtu yeyote bila kujua anatoka wapi anaweza kujiandikisha na mtu yeyote bila kujua anatoka wapi anaweza kupiga kura, huo ni uchaguzi kweli?
Hapana ni chama chako sisi m kimekufa. Subiri kidogo tu nyie wote pamoja na usalama wenu wa wezi wanaowasaidia mtazikwa.Chadema mbona kimeshakufa...
Unatuzuga nini? mbona uko huko siku nyingi? Mchana Chadema usiku sisi m.Hata mimi ningehamia CCM ikiwa nitapewa nafasi ya kuonyesha uwezo wangu ktk uongozi kuliko kuganda na chama kisichokuwa na mwelekeo...Upuuzi mtupu!
Mzushi wewe tunajua ukweli na tuna full data. tuwekee source ya ujinga wako hapaChadema ni debe tupu kama matokeo ya chaguzi za serikali za mitaa na vitongoji yanavyo onyesha. Dar wameambulia kito kimoja tu katika zaidi ya viti 130
Mwanajeshi aliyejeruhiwa na kukimbia vita😱''Tatu, Zito ameahidiwa Uwaziri wa Nishati na Madini kwenye awamu ijayo. Conditon ni kuingia CCM. Ili kuwa mzuri katika hiyo field, ameanza masomo yake nchini Ujerumani akichukua masuala ya sheria za mikataba ya madini kwa mwaka mmoja.
Nne, ameanza kuwa kunolewa katika siasa za kimataifa ili kuandaliwa vyema. Kukaa kwake Bungeni ni nadra sana, au kwenye shughuli za Chama chake. Lengo ni kupunguza uwajibikaji wake katika Bunge na Chama.
Tano, Sina hakika kama Zito yupo tayari kuhamia CCM kama Usalama unavyoamini, ila akicheza mpira vizuri atapewa Uwaziri wa Nishati na Madini akiwa bado chadema mwaka 2011 na JK''-Kigugumizi November 2009.
I think is high time for JF member to refine these posts.
Unajua mtu anapobuni kitu na wewe ukaingia kwenye mtego huo,basi amekupata.
Our culture is to have evidences , na hii ndio misingi ya JF.
Mchezo huu ukiendelea hatutafaya kitu, huwa nasema wale wote waliojitolea kulipigania hili taifa tunawalindaje? kwa majungu kama haya? kesho akiraise mwingine tutasema kitu, where are we going?
We are praying day and night at least to have some people who will stand for goodness of this country, yet we are the very same people trying to discourage these leaders without any evidences.
Nani tutamuamini sasa, nani atakayetokea nchi hii na tukamwelewa na kumkubali woote Tz hii?
Angalia hiyo post, wakati point namba tatu anaainisha kuwa Zitto ameshaanza masomo tayari ili awe fit hiyo field, in other words tayari indirectly ameshakubaki kuhamia CCM, point namba tano anasema HANA HAKIKA!
Yet ZITO ATAPEWA UWAZIRI AKIWA CHADEMA, CCM LINI WAMEBADILI KATIBA NA KUJENGA SERIKALI YA VYAMA VINGI??
Kama moderators hamna uwezo wa kuchanganua aina ya post zenye absolute equivocations kama hizi, BASI LENGO LA JF litakuwa limedoda
Samahani may be this is high time for me to quit being a member in this forum, acheni ni waachie wenye akili zaidi.
Naamini mapenzi yangu kwa Zitto na baadhi ya wapinzani kama akina Slaa , Lissu nk yananifanya kwa UPENDO NIACHE HII FORUM
We can not destroying what we are suppose to build and leave CCM celebrating our dormant mind.
Zitto , STAY FOCUS
Siku ukihamia CCM nitarudi tena JF for the same name, but for now as you are in CHADEMA sitakuwa tena mwanachama WA JF mpaka hizi allegations ziwe sorted out.
Sitaharibu wala sitaipunguzia chochote JF at least mimi itaniweka kwenye hali nzuri saikolojikaly.
Sitaki nije kuhukumiwa na historia, sitaki ninyoshee vidole wengine wakati na mimi sitimizi wajibu wangu, SItaki kuwa sehemu yoyote ya kuja kulaumiwa. Kama mapambano acha niwaze kivingine
lakini sio kuja humu na kusoma scrap post kama hizi yet nizishabikie au kupoteza muda, ziko nyingi zifananazo na hizi, ambazo hazituweki katika image nzuri, kwa watu walio serious na nchi hii.Majungu,fitina, uzushi, kuwa-naive ndio imekuwa jadi yetu.
What will be the different kati yangu mimi na wale vijana wasiosoma vijiweni,ambao kazi yao kubwa wakishavuta bangi na kuosha magari na kupiga soga then the day is over.
I thought JF will be a holy place to really discuss ideas and train our leaders especially these young ones
Kuna vijana wangapi kwenye siasa za Tanzania? wengine wako wapi? je waliopo wanafanya nini? are we mad enough to eat our own cakes and expecting to have one in our own hands?? I usually jokes to graduates at UDSM kuwa wakishamaliza chuo the best positions they can take ni kuwa wenyeviti wa kamati za harusi! nani ameturoga tusiiwazie nchi hii, tuwazie ubinafsi,wivu na fiction stories!
Sorry about this but I wish you the best, I believe someone amenielewa.
If JF is a place for wasting time,go on,If JF is a place for serious business, then do it, and do it perfectly.
I believe i JF will always be, but for the sake of what I believe let me stay out of this at least for good reasons
Lastly, if things will go like this, take my words changes will be a dream of far future generations, because no one will be believed in Tanzania.
All the best in building this country, play your part
cheers
Zitto I will find you, nikirudi Tz next year,
You have my support and will keep praying for you and all others that are doing something for this country.
Again Stay focus , these are common issues though I will not entertain one.
Mwanajeshi aliyejeruhiwa na kukimbia vita😱
Hufai.
Maana vita siku hizi inapiganwa kisayansi. Yaani hata kwa uongo unaoitwa kwa jina lingine propaganda🙂
Chadema ni upuuzi mtupu! Na hatima yake ipo njiani.Hapana ni chama chako sisi m kimekufa. Subiri kidogo tu nyie wote pamoja na usalama wenu wa wezi wanaowasaidia mtazikwa.