- Thread starter
- #201
Ha Haa HaaWoa wamejitengenezea mungu wao anayegawa fedha barabarani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha Haa HaaWoa wamejitengenezea mungu wao anayegawa fedha barabarani!
Wamechanganyikiwa hasaHujui lolote wewe! Eti za awali kambwaga Lissu...hujui tulia!
Mapokezi ya Lissu juzi yamewavuruga Akili kabisaKujifariji nini sasa? Mliahidi kukiua chama kabla ya uchaguzi mkashindwa, bado hata vikao vyao vinawavuruga akili?
Asante sana Molemo tupo pamoja tunawaletea Mgombea Urais wa Maono ya Watanzania
Kwani Kuna ubaya gani? Wote so watia nia wa Chadema ?Unajifariji Tuu Mkuu....
Waziri wa Vitalu inawezekana Kashamaliza Kazi kwa wajumbe zamani Mnoo?
we kalaga baoo,Jamaa ana fweezaa acha,Soma vizuri tweet yake utaelewa kwanini anawaasa wajumbe wasimsikiljze mtu!
inawezekana Kukutana pale ni kukamilisha tuu utaratibu? Nyalanguuu Ana Nguvu mnoo kimya Kimya,Wanakuchekea labda kashamalizana nao?
TUKO Pamoja mkuu👍👍Nashukuru kunirekebisha mkuu