Terrible Teen
JF-Expert Member
- May 1, 2017
- 1,009
- 2,934
Konyagi zitakuwepoTaarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na sheria mbovu za Uchaguzi. Habari zinaeleza kwamba maandamano hayo yatagusa maeneo yote ambayo hayakuguswa awali, unaambiwa hakuna kijiji kitakachoachwa. Kama ilivyo kawaida Maandamano hayo yataongozwa na Tundu Lissu na Freeman Mbowe. Usiondoke JF ili ufahamu ratiba ya kijiji chako. View attachment 2983183
Adalahmaani Kindovu kitembo tutamtadai tembo wetu! Na yule supika atatapika hongo ya DP world aliyopokelea kule MorrocoTaarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na sheria mbovu za Uchaguzi.
Habari zinaeleza kwamba maandamano hayo yatagusa maeneo yote ambayo hayakuguswa awali, unaambiwa hakuna kijiji kitakachoachwa.
Kama ilivyo kawaida Maandamano hayo yataongozwa na Tundu Lissu na Freeman Mbowe.
Usiondoke JF ili ufahamu ratiba ya kijiji chako.
View attachment 2983183
this time round Lazima mchapane makofi na makwenzi hadharini 🐒Majibu anayo Kinana
Ufipa sanaa group!Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na sheria mbovu za Uchaguzi.
Habari zinaeleza kwamba maandamano hayo yatagusa maeneo yote ambayo hayakuguswa awali, unaambiwa hakuna kijiji kitakachoachwa.
Kama ilivyo kawaida Maandamano hayo yataongozwa na Tundu Lissu na Freeman Mbowe.
Usiondoke JF ili ufahamu ratiba ya kijiji chako.
View attachment 2983183
Nani awape? Wanabalansisha mahesabu ya ruzuku,Mmepokea mahela machafu ya wafadhili nini?
Aisee kweli,masikini nasikia Erythrocyte amelipwa laki 3 kwa miezi mitatu,Mbowe kamuona bolizozo kamuahidi kumuachia nyumba yake ya machameNani awape? Wanabalansisha mahesabu ya ruzuku,
HayaDEMONSTRATIONS WITHOUT VIOLENCE ITS NOTHING BUT JUST A PICNIC...!!
Unavyoteseka ndiyo mafanikio yetuKWANI YALE YA MWANZO MMEFANIKIWA KIPI AU NDIYO MKISHAMALIZA KUTEMBEA MNAENDA MNAKUSANYIKA MNAONGEA MNARUDI NYUMBANI MMECHOOOOOKA MNALALA SIKU IMEISHA
Panic mode activatedDEMONSTRATIONS WITHOUT VIOLENCE ITS NOTHING BUT JUST A PICNIC...!!
Yaaani mnaandamana hamna hata ka ffu ka kike, hiyo ni fiester, mtasababisha ffu waote vitambi washenzie nyie pigeni hata makelele wastukeDEMONSTRATIONS WITHOUT VIOLENCE ITS NOTHING BUT JUST A PICNIC...!!
Ushauri wako umepokelewa .Yaaani mnaandamana hamna hata ka ffu ka kike, hiyo ni fiester, mtasababisha ffu waote vitambi washenzie nyie pigeni hata makelele wastuke
SAWA MSEMAJI WA CHADEMA JF NADHANI YATAKUWA NA MOSHI PIA SAFARI HIITaarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na sheria mbovu za Uchaguzi.
Habari zinaeleza kwamba maandamano hayo yatagusa maeneo yote ambayo hayakuguswa awali, unaambiwa hakuna kijiji kitakachoachwa.
Kama ilivyo kawaida Maandamano hayo yataongozwa na Tundu Lissu na Freeman Mbowe.
Usiondoke JF ili ufahamu ratiba ya kijiji chako.
View attachment 2983183
Kwa maoni yangu CHADEMA waachane na maandano kwanza kama miezi 6 wapige press conference za maana nyoka wote watoke shimoni then maandamano baadaeTaarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na sheria mbovu za Uchaguzi.
Habari zinaeleza kwamba maandamano hayo yatagusa maeneo yote ambayo hayakuguswa awali, unaambiwa hakuna kijiji kitakachoachwa.
Kama ilivyo kawaida Maandamano hayo yataongozwa na Tundu Lissu na Freeman Mbowe.
Usiondoke JF ili ufahamu ratiba ya kijiji chako.
View attachment 2983183
Moshi labda turudie yashafanyika last weekSAWA MSEMAJI WA CHADEMA JF NADHANI YATAKUWA NA MOSHI PIA SAFARI HII
Kinana atajibiwa hadharani, Kumbuka vyombo vya habari vyote vishakuwa upande wa ccm kutokana na NjaaKwa maoni yangu CHADEMA waachane na maandano kwanza kama miezi 6 wapige press conference za maana nyoka wote watoke shimoni then maandamano baadae
Hizo hela za wafadhili Hadi serekali inazipokea, kwahiyo hakuna la ajabu hapo maana Kila mmoja anafaidi hela ya mzungu.Mmepokea mahela machafu ya wafadhili nini?
Kawaambie walikuprogram waifute hiyo code maana huko Moshi yameshafanyika. Hapa unaonekana ni juha tu usiyejua lolote zaidi ya kupewa maagizo na kufanya siasa mfu hapa jukwaani.SAWA MSEMAJI WA CHADEMA JF NADHANI YATAKUWA NA MOSHI PIA SAFARI HII