Pre GE2025 CHADEMA kutoa ratiba mpya ya Maandamano ya Amani hivi karibuni

Pre GE2025 CHADEMA kutoa ratiba mpya ya Maandamano ya Amani hivi karibuni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
yaani wewe ni kama mbuzi tu unakimbia bila kujua unaenda wapi nchi sasahivi imetulia maendeleo kila kona watu wana enjoyu maisha wewe unakwama wapi mama kafungua nchi acha kulala fanya kazi unakalia majungu tu shauri yako
Mbuzi hawezi kuandamana na mama yako kwenye maandamano. Kama unamheshimumama yako acha matusi màna ni mwanachama wa chadema. Anaandamana
 
Utaikumbuka hii comment 🐼
Vita yaja sasa, tatizo unadhani wanajeshi, mapolisi , wananchi wasio na vyama wote wanakubaliana na kinachofanywa na ccm. Hata na wenye akili ccm hawayataki. Ya kesho huwezi kuyajua unaweza kuyafikiria tu
 
Matamanio Yako hayaji bila Katiba mpya na Katiba mpya inaanza na Wewe binafsi Siyo hao Maafisa wanaokudanganya 🐼
 
Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na sheria mbovu za Uchaguzi.

Habari zinaeleza kwamba maandamano hayo yatagusa maeneo yote ambayo hayakuguswa awali, unaambiwa hakuna kijiji kitakachoachwa.

Kama ilivyo kawaida Maandamano hayo yataongozwa na Tundu Lissu na Freeman Mbowe.

Usiondoke JF ili ufahamu ratiba ya kijiji chako.

View attachment 2983183
Umemsoma johnthebaptist kuwa ccm wameamua kutotoa ruhusa ya maandamano. Intelligence ya chama ilifanyie kazi maana spana zimewashtua kuwa sasa wanazikwa, wanaweza and it is most likely watayazuia.
 
Ajira lazima ziwe ni za NSSF? NSSF ipi kwanza, hii inayokula michango ya wananchi?
NSSF- huwezi kuijua kwa sababu CHADEMA mnajitolea na Mbowe anakula hela yote kisha mnamuita tajiri aliyetoa hela zake kuendesha chama
 
NSSF- huwezi kuijua kwa sababu CHADEMA mnajitolea na Mbowe anakula hela yote kisha mnamuita tajiri aliyetoa hela zake kuendesha chama
Subiri ratiba mpya wewe
 
Back
Top Bottom