Pre GE2025 CHADEMA kutoa ratiba mpya ya Maandamano ya Amani hivi karibuni

Pre GE2025 CHADEMA kutoa ratiba mpya ya Maandamano ya Amani hivi karibuni

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
KWANI YALE YA MWANZO MMEFANIKIWA KIPI AU NDIYO MKISHAMALIZA KUTEMBEA MNAENDA MNAKUSANYIKA MNAONGEA MNARUDI NYUMBANI MMECHOOOOOKA MNALALA SIKU IMEISHA

Hivi kwako wewe, kigezo cha maandamano kufanikiwa ni nini?

Kwa nchi kama Tanzania, ambayo watawala wamewageua wananchi kuwa ni mifugo yao wanayoweza kuiswaga na kuipeleka watakako, ile wananchi kujitokeza tu kupinga vitendo vya watawala, ni mafanikio makubwa sana ya awali.

Kila mafanikio yana hatua zake.
 
Taarifa njema iliyotufikia hivi sasa inaeleza kwamba, Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) kinatarajia kutoa Ratiba mpya ya Maandamano ya Amani yenye lengo la kupinga Ugumu wa Maisha, Kikokotoo na sheria mbovu za Uchaguzi.

Habari zinaeleza kwamba maandamano hayo yatagusa maeneo yote ambayo hayakuguswa awali, unaambiwa hakuna kijiji kitakachoachwa.

Kama ilivyo kawaida Maandamano hayo yataongozwa na Tundu Lissu na Freeman Mbowe.

Usiondoke JF ili ufahamu ratiba ya kijiji chako.

View attachment 2983183
Mwanya wa kula hela za michango ya bure ya wabeba mabox wa dayasipora wanaopiga makelele asubuhi,mchana usiku wa manane huko kilabuhausi, ukiwajaza upepo kidogo tuu michango
 
Ukichaa ni kufanya jambo lile lile, kwa njia ile ile na kutegemea matokeo tofauti
 
Mwanya wa kula hela za michango ya bure ya wabeba mabox wa dayasipora wanaopiga makelele asubuhi,mchana usiku wa manane huko kilabuhausi, ukiwajaza upepo kidogo tuu michango
Waliomblock mange wamekosea sana ona tushachonga wapuuzi wengine
 
Hizo hela za wafadhili Hadi serekali inazipokea, kwahiyo hakuna la ajabu hapo maana Kila mmoja anafaidi hela ya mzungu.
Nyie wanafaidi Sultan na genge lake,za serikali wananchi hadi wa chadema wanafaidika.
 
Kwani hizo wanazopata cdm wanaenda kuzitumia kuzimu, si huku huku nchini na watu wanapata ajira?
Ajira gani ambazo chadema inatoa? Zile ambazo hata nssf hampeleki,maana Makene aliona anapoteza muda tu.
 
Ajira lazima ziwe ni za NSSF? NSSF ipi kwanza, hii inayokula michango ya wananchi?
😆😆😆😆 NSSF inachukua michango ya wanachama inachangia kampeni za ccm
 
Hivi kwako wewe, kigezo cha maandamano kufanikiwa ni nini?

Kwa nchi kama Tanzania, ambayo watawala wamewageua wananchi kuwa ni mifugo yao wanayoweza kuiswaga na kuipeleka watakako, ile wananchi kujitokeza tu kupinga vitendo vya watawala, ni mafanikio makubwa sana ya awali.

Kila mafanikio yana hatua zake.
yaani wewe ni kama mbuzi tu unakimbia bila kujua unaenda wapi nchi sasahivi imetulia maendeleo kila kona watu wana enjoyu maisha wewe unakwama wapi mama kafungua nchi acha kulala fanya kazi unakalia majungu tu shauri yako
 
Back
Top Bottom