Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu, kwanza huwezi kumlinganisha Rais wa nchi na mtu ka Prof Baregu kwenye masuala ya afya. Rais ni kioo cha nchi kila mwananchi anakitazamaMleta uzi bila shaka anatokea team ya WASAFI (DABILIYUSIBI). Pale hata mtu akiugua mafua yupo insta live. Asipo oga muda mrefu anaenda insta live.
Buda mleta uzi ugonjwa na kifo ni faragha ya wanafamilia.
Unatoa hoja za wanafunzi wa Sekondari O-Level.Jiwe alikuwa Rais wa nchi (japo ni kwa kuiba kura) Tuna haki ya kujua alipo.
Afya yake sio siri ya ccm, taarifa zake sio hisani kwa wananchi, ni haki yao.
Baregu si kiongozi wa nchi, ugonjwa na afya yake ni swala la familia.
Mataga ni wagumu sana kuelewa.
Sawa, mwalimu wa Harvard.Unatoa hoja za wanafunzi wa Sekondari O-Level.
JPM alikuwa rais na sisi wananchi ndio waajiri wake tulikuwa tunamlipa mshahara hivyo tulikuwa na haki ya kujua ugonjwa wake kwa 100% sasa Prof Baregu alikuwa ni mtumishi wa umma?Uzi wa kihanithi kabisa huu