CHADEMA, kuugua na kufariki kwa Prof. Baregu bila kuutaarifu umma kunatia doa uumini wenu wa uwazi

CHADEMA, kuugua na kufariki kwa Prof. Baregu bila kuutaarifu umma kunatia doa uumini wenu wa uwazi

Mleta uzi bila shaka anatokea team ya WASAFI (DABILIYUSIBI). Pale hata mtu akiugua mafua yupo insta live. Asipo oga muda mrefu anaenda insta live.
Buda mleta uzi ugonjwa na kifo ni faragha ya wanafamilia.
Ni kweli mkuu, kwanza huwezi kumlinganisha Rais wa nchi na mtu ka Prof Baregu kwenye masuala ya afya. Rais ni kioo cha nchi kila mwananchi anakitazama
 
Jiwe alikuwa Rais wa nchi (japo ni kwa kuiba kura) Tuna haki ya kujua alipo.
Afya yake sio siri ya ccm, taarifa zake sio hisani kwa wananchi, ni haki yao.

Baregu si kiongozi wa nchi, ugonjwa na afya yake ni swala la familia.

Mataga ni wagumu sana kuelewa.
Unatoa hoja za wanafunzi wa Sekondari O-Level.
 
Mwenye CV ya prof aiweke hapa. Moja ya wazee wangu walipata kusoma nae aliniambia jamaa hakutoboa darasa la 12 kwa matokeo mazuri akaenda kusoma CERTIFICATE jamaa alikuja kutoboa hadi PHD.
Mwenye ukweli anirekebishe au mzee wangu alikuwa MOTIVATIONAL SPEAKER kwangu
 
Uzi wa kihanithi kabisa huu
JPM alikuwa rais na sisi wananchi ndio waajiri wake tulikuwa tunamlipa mshahara hivyo tulikuwa na haki ya kujua ugonjwa wake kwa 100% sasa Prof Baregu alikuwa ni mtumishi wa umma?
Mleta mada angalia sehemu zako za Siri kama hazitoi usaha inaonekana umeoza kuanzia kichwani hadi kwenye mavuzi.!!
 
Back
Top Bottom