Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Leo dishi lipo vizuriTatizo siyo Jaji bali mwenendo!
Mahakama ni mashina ya CCM tupuNenda kwenye pointi acha kujitoa ufahamu kisa shilingi 7000/-Jaji aliyekuwepo alipaswa kufanya nini baada ya hati ya mashitaka kuonekana kuwa na kasoro kisheria.Majaji ni matawi CCM ,mahakama ni matawi ya CCM haki haipo .Bila damu kumwagika
jaji alitakiwa kumwachia mtuhumiwa ili akamatwe tena kesi ianze upya sasa kunatofauti gani kati ya kumwachia akakamatwa tena na kuwaambia wakarekebishe hati?Nenda kwenye pointi acha kujitoa ufahamu kisa shilingi 7000/-Jaji aliyekuwepo alipaswa kufanya nini baada ya hati ya mashitaka kuonekana kuwa na kasoro kisheria.Majaji ni matawi CCM ,mahakama ni matawi ya CCM haki haipo .Bila damu kumwagika
Mbege ya jana hukuichakachua manka!Leo dishi lipo vizuri
Msimu wa kuandaa mashamba acha uleviMbege ya jana hukuichakachua manka!
😳Msimu wa kuandaa mashamba acha ulevi
Hapo ndipo penyewe. Naona kama Jaji aliona amebugi na ndiyo maana alipoomba kujiondoa hakusitaJaji aliyekuwepo alipaswa kufanya nini baada ya hati ya mashitaka kuonekana kuwa na kasoro kisheria.
Tulia na wewe buku 7
Hoja ni kwamba baada ya kusema hati ya mashtaka ina makosa ikarekebishwe maana yake tangia hapo hakuna mashtaka maana mashtaka yanaanzishwa na hati ya mashtaka. Kusema hati ina makosa na usimwachie si sawa.jaji alitakiwa kumwachia mtuhumiwa ili akamatwe tena kesi ianze upya sasa kunatofauti gani kati ya kumwachia akakamatwa tena na kuwaambia wakarekebishe hati?
Chadema ni watu kama mimi na wewe.Ni Mbowe anashtakiwa, siyo CHADEMA.
Acha kupotosha. Halafu ni haki ya mtuhumiwa kumkataa jaji, na ni wajibu wa jaji kutafakari na kujitoa kwenye kesi yenye hisia hasi dhidi yake. Hata kesi ya Lema Arusha, Jamuhuri iliomba Hakimu ajitoe kwa sababu mke wa Lema alikuwa rafiki wa huyo Hakimu.
Linapokuja suala la kimahakama, ukiingiza siasa na kujitoa ufahamu, ambayo sometimes hauna, lazima utakosea.
Jamuhuri wameonyesha udhaifu mkubwa sana kwenye kesi hii. Wanabutua sana. Very weak!
Haki ni pamoja na kufungwa.....ama kuachiwa yote mkubaliKama hana kosa kwa nini kuwa na hofu kuwa atatiwa hatiani kwa makosa ambayo hajafanya?
Jaji ni mwamuzi anayeangalia ushahidi wa pande zote mbili. Na anaamua kwa kufuata haki.
Tulipinga kwa nguvu zote Jaji Limuvanda kusikiliza kesi ya Mbowe. Sasa jaji Nsiyani naye tunakuwa na hofu nae.
Tutulize munkari tusibiri kuona mahakama ikienda haki tuache lawama za mapema.