CHADEMA kuwa na hofu na Majaji wa Mahakama Kuu ni dalili mbaya, tunaashiria kuwa Mbowe ana makosa

labda aje Mtei na Lissu ndo wawe majaji
 
Unajitoa ufahamu kwa huu upupu, au huna kabisa ufahamu?! Kama Mbowe ni gaidi, kada wenu wa Chama cha Magaidi, Hamza, atakua nani?!
 
Hati ndo yenye mashitaka, inakuaje hati halali kama ina mashitaka fake?! Uhali wa mashitaka unapotea kwa makosa yale, ambayo kwa ujumla ni kusingiziwa su kubambikiwa tangu awali, #Mbowesiyogaidi. Kama Mbowe akiwa gaidi, mwana-ccm Hamza, atakua nani?
 
Kibatala alishasema Mbowe ni Gaidi aliyepelekwa katika mahakama isiyo sahihi. na aliweka pingamizi kuomba Mbowe apelekwe kwenye Mahakama ya inayoshughulikia Magaidi sio hii ya Wahujumu Uchumi. 😂 😂 😂
 
jaji alitakiwa kumwachia mtuhumiwa ili akamatwe tena kesi ianze upya sasa kunatofauti gani kati ya kumwachia akakamatwa tena na kuwaambia wakarekebishe hati?
Hii ndio shida ya nchi hii. Jaji hakupaswa kujihusisha na nini kinatokea kwa Mbowe kabla hajasikiliza kesi na kutoa uamuzi. Unajua kuwa kesi hii ilifunguliwa na mshitakiwa akitaka aachiwe huku kwa sababu hati si sahihi?? Kama hati haikuwa sahihi (jambo lililopingwa na jamhuri) basi haki kwa mshitakiwa ilikuwa ni kuachiwa huru!! Kisha jamhuri imkamate tena na katika saa 48 ilete mashtaka upya!!

Usichojua wewe ni kuwa Jaji anajua madhara ya kumwachia Mbowe huru na katika namna ya ajabu anakiri kuna makosa lakini makosa hayo yarekebishwe! Kesi inakokwenda ni kugumu zaidi kuliko ilikotoka coz utetezi unataka kutendewa haki kuhisiana na shauri lao la ukamilifu wa hati ya mashtaka. Hapo bado hata hawajafikia kwenye utetezi wa makosa. Hivi hawa washtakiwa ndio wale Rais alisema BBC kuwa tayari wanatimikia adhabu ya makosa yao???
 
Msimnukuu vibaya rais alisema wengine wanatumikia kwa sababu wengine walishaachiwa baada ya kuonekana hawana makosa ni hukumu hiyo pia na mbowe anakimbilia kuwa hati ina makosa aachiwe kwanini asiseme yarekebishwe ili ahukumiwe kwa haki? na hukumu siyo lazima afungwe hata kutoka nayo ni hukumu
 
Mambo yangekuwa kama unavyosema jaji mkuu mstaafu asingemlalamikia Magufuli kuhusu kupata wakati mgumu kutokana na vimemo vya hukumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…