Pre GE2025 CHADEMA kuweni macho na Wenje Ezekiel, huyu ni pandikizi la CCM, deal naye perpendicularly!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna tatizo, huo ni uchaguzi....
 
Mimi nafikiri una wasiwasi wa bure..

Umesahau kuwa siasa ni mchezo wa kimkakati..

Ndugu Retired unafikiri kwa akili na ufahamu wako kweli serousily Wenje aweza kutoka huko na kutangaza tu kum - challenge VC Tundu Lissu bila kwanza kuwa na mkakakati maalumu uliopangwa na kukubalika..?

CHADEMA ya sasa iko very learned and advanced. Ina political strategists waliobobea na wako kazinj..

Usiwe na shaka iko vile kwa sababu maalumu. Na kwa taarifa tu ni kuwa wapo watakaojitokeza pia kum - challenge M/Kiti Freeman Mbowe lakini Mbowe ndiye atakaye kuwa mwenyekiti tena..

Don't worry. CCM hii katika mazingira na sheria mbovu hizihizi, this last time kwa msaada na uwezo mkuu wa Mungu aliyeumba mbingu na nchi na vyote vilivyomo, ni lazima wapigwe kwa TKO na dunia na wote hawataamini na watashangaa, kupigwa butwaa wasijue nini kimetokea..!
 
Agreed, lkn unapoleta mambo ambayo hayana msingi/haraka sana kwenye vita, then lazima tuwe na mashaka na wewe.
We lazima utakuwa chawa wa mbowe amekutuma upime upepo..au we ni mbowe mwenyewe
 
Cha ajabu unamuunga mkono siku hizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…