Kindeena
JF-Expert Member
- Sep 27, 2017
- 11,462
- 21,124
Nchi ngumu swali rahisi.Kwani mtu kutangaza nia yaKe ktk chama cha demokrasia ni kosa?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nchi ngumu swali rahisi.Kwani mtu kutangaza nia yaKe ktk chama cha demokrasia ni kosa?
Lissi is Mr Clean. Ukimchafua unachafuka mwenyewe.
Angekuwa na Tamaa angekuwa Waziri Mkuu Ccm
Naungana nawe kwani ,kama kugombea ni haki yake , wapiga kura kwa nafasi yake anayotaka bado ni wanachama wa chadema kupitia mkutano mkuu, je hii speed kwake ya nini? Wenje hata kama angetangaza nia yake ndani ya masaa 12 kabla ya uchaguzi nani asiemjua ndani ya chama na kumpa kura yake pale ambapo ameridhika na sera zake wakati wa kujinadi?My concern ni hiyo. Huu ni wakati wa vita, mko kwenye mapambano wewe unazua jambo ambalo litawagawanya. HAPANA huyu hafai katu!
Ukisema Lissu ni mfia Chadema ,napinga ,Lissu ni Mfia haki, zipo harakati nyingi na nyingine pia zimempa misukosuko kutoka kwa watawa hata kabla ya kua chadema.1. Lisu ni ngazi ya taifa, anapambana na Samia/CCM. Huko hakuna kinachoweza kuivuruga chadema.
2. Kwangu mimi, my personal conviction, Lisu ni mfia chadema, risasi zote mwilini ni kwa ajili ya chadema. ana nia thabiti ya kuijenga chadema. Hizi ni chaguzi za Urais hazina nafasi ya usaliti wa mtia nia!!
AGREEDUkisema Lissu ni mfia Chadema ,napinga ,Lissu ni Mfia haki, zipo harakati nyingi na nyingine pia zimempa misukosuko kutoka kwa watawa hata kabla ya kua chadema.
Sema Chadema na lissu kinaumana zahidi kwanza kama mwanachama na pili kwenye haki .
Character assassinationWenye akili tulitegemea anaitisha mkutano kuweka mikakati namna ya kukabiliana na chaguzi zijazo za kitaifa za serikali, kumbe anaitisha mkutano kuwatangazia mahasimu wa Chadema kuwa anagombea madaraka.
Kazi kubwa ya Wenyeviti sasa kwa Chadema ni namna ya kuzikabili chaguzi zijazo za taifa. Yeye mawazo yake, nia na nguvu na mawazo yake ni kupata madaraka !
ACTUALLY NIA OVU KUBWA YAKE NI KUIVURUGA CHADEMA.
Fukuza jitu, liwalo na liwe! Aungane na Msigwa CCM!
Erythrocyte na wote wanaoipenda Chadema na Tanzania iliyo bora.
Pia soma > Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa
MH! UNAJIDHALILISGA JF. NDIO WAFUNGWE MIEZI 9/WAPIGWE RISASI WAKATI NI CCM. NITAKUWA NA SKIP POSTS ZAKO POPOTE NITAKAO ZIKUTA MAANA HAZINA CHA KUJIFUNZA/KUELIMISHA/KUPASHANA HABARIWenje, Sugu, Mbowe hao wote ni mkono wa CCM ndani ya Chadema
KabisaWenje hana nguvu ki vile kanda ya ziwa. Pambalu he is coming up now.
How?Character assassination
Kweli tupuAondoke tu ata leo, kwenye kanda yake wapo wanachama wangapi? Na je kila mmoja akitaka gombea vyeo patakalika , wengine wapo pigania haki ili kuiona kanani wengine ndo wanafikilia vyeo.
Tunataka anaetaka ondoka Chadema mda ni sasa , sio kesho kuja kufikia bei kama mafungu ya nyanya na kulitia taifa kwenye hasara z a chaguzi za kijinga .
Na wito kwa viongonzi wa chama Chadema Taifa kuhakikisha kuanzia serikari za mitaa mpaka uchaguzi mkuu mwakani ,plus uchaguzi wa ndani chama , hakikisha kila Mgombea anapewa makubaliano makali na chama ili pale ikitokea kuunga juhudi ,saliti chama twendako ukilipe chama kwa gharama yoyote ile imekubalika katika makubaliano period
Mkuu unanitafuta? angalia usijepata shidaWewe au mwingine! Ni kama mizezeta hapo juu iliyokuwa inatamka maneno ya hovyo kwa vile Wenje anataka kugombea kiti cha Mungu wao Lissu. Wewe kama angalisemwa Mbowe nawe yangekuwa yale yale kama ya akina Retired au brazaj au Benjamini Netanyahu au Salary Slip etc
Sasa kwani Msigwa hakufungwa Jela?. Akatolewa kwa michango ya wananchi?.MH! UNAJIDHALILISGA JF. NDIO WAFUNGWE MIEZI 9/WAPIGWE RISASI WAKATI NI CCM. NITAKUWA NA SKIP POSTS ZAKO POPOTE NITAKAO ZIKUTA MAANA HAZINA CHA KUJIFUNZA/KUELIMISHA/KUPASHANA HABARI
Pesa itawamaliza wapinzani. wamewasaliti wananchi kwa vipande vya RupiaUzuri Chadema ni Taasis ,anaeona yupo kuivuruga Chadema bora kimbilia vyama vingine ,CHADEMA ni zahidi ya mtu yoyote kama chama , bila kujali umaarufu wake ,au chochote kile.
Kuna wanachama wengi wamemwaga dam ,kupoteza mpaka ndugu zao kisa chama ichi , so hakuna wa kuzuia chama ichi nje ya wanachama wenyewe fikia malengo yake .
Mungu ataenda leta dholuba kuu kwa kila alie/ atake hujum chama ichi. Huu sio mda kwa chadema kutafuta vyeo bali ni Mda wa kuelekea kanani .
Wenje hutoweza kuwa M/ mwenyekiti katika kipindi hichi cha matumaini watz wanataka mabadiliko ila ni haki yako kikatiba kugombea nafasi yoyote .
Thanks
That was not on an individual basis, it was a mass "exodus" and, to crown it all, the two scenarios are incomparableSasa kwani Msigwa hakufungwa Jela?. Akatolewa kwa michango ya wananchi?.
Lissu alishasema mara mia hataki uenyekiti wa chadema. yeye analenga kugombea uraisi tuAcheni unafiki...
Wenje anatumika? jibu ni ndiyo...
Nani anamtumia? jibu ni Mbowe...
Mbowe amemtuma Wenje kugombea umakamu ili kujaribu kusoma mawazo ya Lissu...
Mbowe anataka ajue, Lissu anautaka uwenyekiti au Lah...
Kimsingi Mbowe ametumia akili za kitoto.
Viongozi wa Chadema na karibia wapinzani wote hapa Tanzania ni mapandikizi tu ya CCM kudanganya dunia kuwa Tanzania nayo ina demokrasia kumbe ni danganya toto tu, watu wanakula ruzuku bila kuulizwa kitu.Wenye akili tulitegemea anaitisha mkutano kuweka mikakati namna ya kukabiliana na chaguzi zijazo za kitaifa za serikali, kumbe anaitisha mkutano kuwatangazia mahasimu wa Chadema kuwa anagombea madaraka.
Kazi kubwa ya Wenyeviti sasa kwa Chadema ni namna ya kuzikabili chaguzi zijazo za taifa. Yeye mawazo yake, nia na nguvu na mawazo yake ni kupata madaraka !
ACTUALLY NIA OVU KUBWA YAKE NI KUIVURUGA CHADEMA.
Fukuza jitu, liwalo na liwe! Aungane na Msigwa CCM!
Erythrocyte na wote wanaoipenda Chadema na Tanzania iliyo bora.
Pia soma > Kuelekea 2025 - Ezekia Wenje atangaza kugombea nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa