Chadema kuweni makini fuatilieni ushahidi kwenye swala la Lema

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,780
Reaction score
15,488
Chadema kuweni makini fuatilieni ushahidi kwenye swala la Lema. Watu wa CCM wanataka kuleta mchafuko kwa kumtumia Lema na kumsingizia.

Habari za sirisiri ambazo wana harakati wanapewa wawe makini na hizo habari inawezekana kabisa wanao wapa habari wanawapandikizia mambo ya uzushi.
 
Ushahidi mkubwa ni kauli zake Lema mwenyewe zilizojaa utata na mkanganyiko!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…