Huyu mwamba ccm wanatamani aondoke maana hanunuliki.Hizi juhudi za Mbowe aondoke, ni mkono wa chuma wanaouogopà
Vipi kama atakufa?Huyu mwamba ccm wanatamani aondoke maana hanunuliki.
Wanataka akalie kiti mtu wa aina ya Lipumba au ZZK
Mbona ccm ndiyo yenye ngonjera ya kutawala milele?Sasa mkipewa Serikali simtatawala milele?
Ni kama tu ccm ikifaVipi kama atakufa?
Mbona mnavijana wazuri tu kama HecheNi kama tu ccm ikifa
Tangu lini uliona Yanga wanalalamikia uongozi mbovu wa simba, au Simba walie lie kuwa uongozi wa Yanga haufai?!Mbona mnavijana wazuri tu kama Heche
Ni kweli. Lkn kuendelea kwa Mbowe kuwa mwenyekiti kwa miaka zaidi ya 20 kunawapa maadui wa chadema uhalali wa kuaminiwa kuwa "ndani ya chadema hakuna demokrasia".Hizi juhudi za Mbowe aondoke, ni mkono wa chuma wanaouogopà.
Tukiruhusiwa na wapiga kura tutatawala milele. Siyo Kwa bao la mkono na mawazo na mipango kama ya mwenyekiti yule wa UVCCM kule Kanda ya Ziwa. Ambaye mpaka Leo sijui mmemfanyajeSasa mkipewa Serikali simtatawala milele?
Kuna ubaya gani kama tutapewa ridhaa na Wananchi? Kupora Chaguzi kama CCM ndio nuksi.Sasa mkipewa Serikali simtatawala milele?
CCM kama kuna Demokrasia mnataka fomu moja ya mgombea Urais kwa nn? Kwa nini nafasi za makamu mwenyekiti, mwenezi na katibu mkuu hawawi watu kadhaa kuchukua fomu wakapigiwa kura mnaletewa na Mwenyekiti mtu anayemtaka? Eti mnaidhinisha anafaa au hafai wakati huo anayemleta kwenu nafasi yake unaijua.Ni kweli. Lkn kuendelea kwa Mbowe kuwa mwenyekiti kwa miaka zaidi ya 20 kunawapa maadui wa chadema uhalali wa kuaminiwa kuwa "ndani ya chadema hakuna demokrasia".
Chama kinapaswa kuwa na succession plan na kusimama kitaasisi badala ya kumtegemea mtu mmoja. Itakuwa vipi Mbowe akitwaliwa na muumba?
Kwa maslahi mapana ya chama, Mbowe aachie ngazi, abakie kuwa mwanachama, mshauri na mtu mashuhuri ndani ya chama
Sasa hivi yuko wapi?Cecil Mwambe Ndio aligombea Uenyekiti na Mbowe
Alishinda LAKINI kura zake wakampa Mbowe 🐼
Ngoja kwanza tupate katiba mpya. Akiingia mtu legelege, chadema imekwisha. Kwa ufidhuri wa ccm Ngoja kwanza Mbowe awepo, kwa Katiba hii ambayo Rais ni Mungu, kama hakuna mtu madhubuti, chadema imekwisha.Ni kweli. Lkn kuendelea kwa Mbowe kuwa mwenyekiti kwa miaka zaidi ya 20 kunawapa maadui wa chadema uhalali wa kuaminiwa kuwa "ndani ya chadema hakuna demokrasia".
Chama kinapaswa kuwa na succession plan na kusimama kitaasisi badala ya kumtegemea mtu mmoja. Itakuwa vipi Mbowe akitwaliwa na muumba?
Kwa maslahi mapana ya chama, Mbowe aachie ngazi, abakie kuwa mwanachama, mshauri na mtu mashuhuri ndani ya chama
Asante kwa kunisahihisha. Chadema ingelikuwa mfu kama chauma kama pandikizi hilo lingepitaCecil Mwambe Ndio aligombea Uenyekiti na Mbowe
Alishinda LAKINI kura zake wakampa Mbowe 🐼
Magufuli aliwahi sema ukiona mpinzani wako analalamika na kukusahihisha ujue umemshika pabaya kamatia hapohapo tangu lini ccm iliitakia mema cdm? Tangu lini mashauri wa mambo ya leadership succession ndani ya cdm yakarekebishwe na ccm? Hapana hapana ccm msiyaingilie ya cdm kama ilivyo chadema haiingilii ya ccmNi kweli. Lkn kuendelea kwa Mbowe kuwa mwenyekiti kwa miaka zaidi ya 20 kunawapa maadui wa chadema uhalali wa kuaminiwa kuwa "ndani ya chadema hakuna demokrasia".
Chama kinapaswa kuwa na succession plan na kusimama kitaasisi badala ya kumtegemea mtu mmoja. Itakuwa vipi Mbowe akitwaliwa na muumba?
Kwa maslahi mapana ya chama, Mbowe aachie ngazi, abakie kuwa mwanachama, mshauri na mtu mashuhuri ndani ya chama
kwann macho ya kibaraka yako wap mpaka analia kuna rushwa kwenye uchaguzi huo wa Chadema?🐒Habari ndiyo hiyo. Hizi juhudi za Mbowe aondoke, ni mkono wa chuma wanaouogopà. Wanasubiri uanguke washangilie. Msiruhusu kitu kama hicho.
Msiwe wepesi wa kusahau. Mnadhani Mashinji ( nadhani ndiye aliyekuwa amegombea uenyekiti??? Nisahihisheni) angelipata uenyekiti Chadema ingelikuwepo?
Chukueni tahadhali kubwa sana katika kufanya maamuzi.
Kama madhaifu ya ccm ndiyo kipimo cha vyama mbadala (vya upinzani), basi vinapoteza uhalali na sababu ya uwepo wake.CCM kama kuna Demokrasia mnataka fomu moja ya mgombea Urais kwa nn?
Issue hapa siyo ccm kutoa ushauri, bali ni chadema kushindwa kufuata misingi ya demokrasia kama kinavyojitambulisha kwenye jamii.Tangu lini mashauri wa mambo ya leadership succession ndani ya cdm yakarekebishwe na ccm? Hapana hapana ccm msiyaingilie ya cdm kama ilivyo chadema haiingilii ya ccm