Elections 2010 CHADEMA kuzindua kampeni “Tanzania ya wananchi”

Waambieni watu maendeleo gani mmefanya ndani ya miaka mitano, sio porojo tuu
 
Sidhani kama siro atakubali huo mpango ufanyike maana waaona ndio chanzo cha maandamano
 
Kwamba Chadema ni mali ya babamkwe wa Mbowe.....hivyo mmempa Uenyekiti wa kudumu!

Magufuli alipogombea uenyekiti wa ccm kwa kushindanishwa na kivuli chake mlikuwa mnamaanisha nn?

Naona unarukaruka kama maharage yanayokaukiwa na maji. Ila ndiyo kuiva kwenyewe huko. Bado kitambo kidogo utaelewa.
 
Mbona kwenye heading umeandika Election 2010?
 
Huu ni mradi mwingine wa kujustify matumizi ya ruzuku.
Ninyi mnajustify 'dhuluma na ukandamizaji wa demokrasia'
Tanzania ni ya WaTanzania kwani ni uongo?!
Mtatia akili tu
Wakati ukuta umefika
 
Huu ni mradi mwingine wa kujustify matumizi ya ruzuku.
Hizo ni kodi za wananchi, na Zinarudi kwao kwa njia mbali mbali ikiwa ni pamoja na kuwatetea pia kuwaelimisha Ng'ombe kama wewe kuwa hii Nchi ni ya Watanzania na si ya CCM.
 
Hizo ni kodi za wananchi, na Zinarudi kwao kwa njia mbali mbali ikiwa ni pamoja na kuwatetea pia kuwaelimisha Ng'ombe kama wewe kuwa hii Nchi ni ya Watanzania na si ya CCM.

Jifunze kuheshimu chama kilichopigania uhuru hapa Nchini.
 
Jifunze kuheshimu chama kilichopigania uhuru hapa Nchini.
Bora tungeendelea kuwa Chini ya Mkoloni Mwingereza Kuliko haya Tunayaofanyiwa na CCM Wauwaji Wakubwa. Ubaguzi Uliopo ni bora ya Mkoloni Mwenyewe. Rais gani haheshimu Watanzania Wenzie, anawafanyia Unyama kana kwamba yeye ni Wa Taifa tofauti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…